Ndugu
mi ni mfanyakazi niliyoajiriwa na Katibu Mkuu wizara ya maji
net pay yangu ni sh. 387,800 kwa mwezi.
Je, ni bank gani naweza kukopa kiasi cha zaidi sh. 5 million na riba nafuu?
Ni vizuri kama ungetoa mfano ili mhusika akuelewe vema.
Unakopa shilingi ngapi, utarudisha shilingi ngapi?Utatakiwa kurudisha baada ya muda gani? Utarudisha kwa mikupuo mingapi? nk