Davion Delmonte Jr.
JF-Expert Member
- Oct 27, 2013
- 2,149
- 1,718
Monetary policy ya nchi1 ina influnce kwa kiwango gan katika kuaffect national currency ya nchi nyingne?? HOW N Justify ambao hatujui tueleweDakika chache zilizopita Banki kuu ya Marekani wamepandisha riba kutoka 0.25% iliyokuwepo mpaka 0.5% kwa mara ya kwanza baada ya miaka 7.
.Oil imeshuka na sasa ina trade kwa dola 36 kwa pipa.
.Tutegemee kuimarika kwa dola na kuporomoka thamani ya baadhi ya fedha. labda shilingi yetu inaweza kuendelea kudidimia kwa mwaka kesho.
Monetary policy ya nchi1 ina influnce kwa kiwango gan katika kuaffect national currency ya nchi nyingne?? HOW N Justify ambao hatujui tuelewe
Maana yake nini?tufungue basi tujue ugumu/impact kwa watz
ngoja tumsikilize dr. ndulu anasemaje
Sasa wale wa benki kuu hawana budi kuchukua hatua ambazo zitalinda thamani ya shilling yetu; badala ya kuzubaa tu kwenye hilo jumba refu!!
Ipo hivi, kwa nchi kubwa na yenye nguvu kiuchumi kama Marekani kupandisha riba kuna impact kubwa sana ya mda mrefu na mda mfupi.
Ki nadharia kutokana na kwamba tupo ulimwengu wa utandawazi ambapo mtaji unaweza kutoka nchi moja kwenda nyingine ina maanisha kwamba kwa riba kutoka 0.25% na kupanda mpaka 0.5% kunapelekea riba katika saving na borrowing kupanda. Nikiwa na maana kwamba hata kwenye zile yields za dhamana za madeni bonds and bills nazo zitapanda.
Kupanda kwa yields na saving rate kwenye taasisi za fadha za Marekani kutapelekea Capital inflow nyingi kwenye nchi ya Marekani kwa sababu sasa wawekezaji watakuwa na uhakika wa kupata returns kubwa kwenye uwekezaji wao kwa sababu riba imependa. Sasa nchi inavokuwa inapokea mitaji kutoka nje (capital inflow) ina maana kwamba ili mitaji hiyo iweze kuingia ina maana mahitaji ya sarafu ya nchi husika yatakuwa ni makubwa na kupelekea bei yako kupanda. Na ndio maana dakika chache baada ya tangazo la kupanda kwa riba sarafu za Euro, Yen na Pound zimeporomoka kwa kasi ndani ya mda mfupi ikiwa na maana sarafu ya dollar ilikuwa inanunuliwa kwa kasi sana.
Na kwa nchi kama Tanzania sidhani kama tunaweza kuepuka hii nguvu dola iliyopata kwa usiku huu. Ni suala la kuanza kuhabarishana kuanzia kesho kwamba dola itakuwa inanunuliwa kwa shilingi ngapi. Maana hata na hivo bado viashiria vya ndani ya nchi yetu bado ni dhaifu hivo natarajia kuporomoka kwa shilingi pia kwa siku za usoni kuanzia kesho.
Kitu kingine ikumbukwe pia nchi zinazochipukia ki uchumi zina madeni ya taasisi kubwa za kifedha na kitendo cha kupanda kwa riba kinamaanisha ule mzigo wa madeni ya riba lazima utakuwa juu na pia uwezekano wa kupatikana mikopo mipya kwa nchi nyingi masikini utakuwa ni mdogo kwa hiyo kwa namna moja au nyingine tunaweza kutegemea slow down ya chumi nyingi ambazo zinachipukia na zilikuwa zinategemea wahisani.
Suala lingine ni kuwa wakati interest inapopanda ina maana decisions za individual zinaelekezwa sana kwenye ku save na kununua asset ambazo kwa wakati huu zitakuwa na return kubwa kama bonds na bills. Kwa ku save zaidi ina maana households wa nchi nyingi za magharibi ambao huwa tunawategemea kuja huku ku spend huenda wakapunguza matumizi ambayo yalikuwa ni kama luxury mfano utalii kwenye nchi zetu kama Tanzania. Hivo ki nadharia ni kwamba uamuzi huu kidogo unaweza kuumiza sector ya utalii kwa nchi nyingi zinazochipukia kama Tanzania. Na ikumbukwe pia kudorora kwa utalii nayo ni sababu ya shilingi yetu ya Tanzania kuzidi kunywea dhidi ya dola.
Kwa sasa ni hayo tu ila tutazidi kufahamishana kadri mda utavozidi kwenda maana ndo kwanza tukio limetokea mda mchache uliopita.
Kwa nchi km US fedha take yan USD haipotezi thaman kirahisi kama sh yetu ndo maana riba ni ndogo kiasi hicho. Afu pia kule taasisi za fedha zmeendelea sana kwa hiyo uhakika wa mikopo kurejeshwa bila usumbufu ni mkubwa tofauti na huku kwetu. Pia tambua kwamba benki kuu haitoi mkopo kirahisi kwenye hizi Benki za biashara. Inatokea Mara chache sana ndipo benki kuu hukopesha Benki za biashara pale ambapo haziwezi kupata fedha kutoka vyanzo vingne. Kupanda riba kwa asilimia mia moja kuna target Fulani kiuchumi Ila hasa hasa ni kuboost soko la hisa pamoja na mauzo ya bonds za seriiali. In hayo machacheMkuu me naomba unifahamishe hapa kwenye hyo riba ya 0.5%,kwa maono yangu naona ni ndogo sana ila cha ajabu mabank yetu
yakishakopa uko yanakuja kutupiga riba za 19-25%, kwa mtazamo wangu naona kama wanapiga faida kubwa sana hizi taasisi za fedha za
uku kwetu
Ipo hivi, kwa nchi kubwa na yenye nguvu kiuchumi kama Marekani kupandisha riba kuna impact kubwa sana ya mda mrefu na mda mfupi.
Ki nadharia kutokana na kwamba tupo ulimwengu wa utandawazi ambapo mtaji unaweza kutoka nchi moja kwenda nyingine ina maanisha kwamba kwa riba kutoka 0.25% na kupanda mpaka 0.5% kunapelekea riba katika saving na borrowing kupanda. Nikiwa na maana kwamba hata kwenye zile yields za dhamana za madeni bonds and bills nazo zitapanda.
Kupanda kwa yields na saving rate kwenye taasisi za fadha za Marekani kutapelekea Capital inflow nyingi kwenye nchi ya Marekani kwa sababu sasa wawekezaji watakuwa na uhakika wa kupata returns kubwa kwenye uwekezaji wao kwa sababu riba imependa. Sasa nchi inavokuwa inapokea mitaji kutoka nje (capital inflow) ina maana kwamba ili mitaji hiyo iweze kuingia ina maana mahitaji ya sarafu ya nchi husika yatakuwa ni makubwa na kupelekea bei yako kupanda. Na ndio maana dakika chache baada ya tangazo la kupanda kwa riba sarafu za Euro, Yen na Pound zimeporomoka kwa kasi ndani ya mda mfupi ikiwa na maana sarafu ya dollar ilikuwa inanunuliwa kwa kasi sana.
Na kwa nchi kama Tanzania sidhani kama tunaweza kuepuka hii nguvu dola iliyopata kwa usiku huu. Ni suala la kuanza kuhabarishana kuanzia kesho kwamba dola itakuwa inanunuliwa kwa shilingi ngapi. Maana hata na hivo bado viashiria vya ndani ya nchi yetu bado ni dhaifu hivo natarajia kuporomoka kwa shilingi pia kwa siku za usoni kuanzia kesho.
Kitu kingine ikumbukwe pia nchi zinazochipukia ki uchumi zina madeni ya taasisi kubwa za kifedha na kitendo cha kupanda kwa riba kinamaanisha ule mzigo wa madeni ya riba lazima utakuwa juu na pia uwezekano wa kupatikana mikopo mipya kwa nchi nyingi masikini utakuwa ni mdogo kwa hiyo kwa namna moja au nyingine tunaweza kutegemea slow down ya chumi nyingi ambazo zinachipukia na zilikuwa zinategemea wahisani.
Suala lingine ni kuwa wakati interest inapopanda ina maana decisions za individual zinaelekezwa sana kwenye ku save na kununua asset ambazo kwa wakati huu zitakuwa na return kubwa kama bonds na bills. Kwa ku save zaidi ina maana households wa nchi nyingi za magharibi ambao huwa tunawategemea kuja huku ku spend huenda wakapunguza matumizi ambayo yalikuwa ni kama luxury mfano utalii kwenye nchi zetu kama Tanzania. Hivo ki nadharia ni kwamba uamuzi huu kidogo unaweza kuumiza sector ya utalii kwa nchi nyingi zinazochipukia kama Tanzania. Na ikumbukwe pia kudorora kwa utalii nayo ni sababu ya shilingi yetu ya Tanzania kuzidi kunywea dhidi ya dola.
Kwa sasa ni hayo tu ila tutazidi kufahamishana kadri mda utavozidi kwenda maana ndo kwanza tukio limetokea mda mchache uliopita.
Kwa nchi km US fedha take yan USD haipotezi thaman kirahisi kama sh yetu ndo maana riba ni ndogo kiasi hicho. Afu pia kule taasisi za fedha zmeendelea sana kwa hiyo uhakika wa mikopo kurejeshwa bila usumbufu ni mkubwa tofauti na huku kwetu. Pia tambua kwamba benki kuu haitoi mkopo kirahisi kwenye hizi Benki za biashara. Inatokea Mara chache sana ndipo benki kuu hukopesha Benki za biashara pale ambapo haziwezi kupata fedha kutoka vyanzo vingne. Kupanda riba kwa asilimia mia moja kuna target Fulani kiuchumi Ila hasa hasa ni kuboost soko la hisa pamoja na mauzo ya bonds za seriiali. In hayo machache
Mkuu me naomba unifahamishe hapa kwenye hyo riba ya 0.5%,kwa maono yangu naona ni ndogo sana ila cha ajabu mabank yetu
yakishakopa uko yanakuja kutupiga riba za 19-25%, kwa mtazamo wangu naona kama wanapiga faida kubwa sana hizi taasisi za fedha za
uku kwetu
Kaka ni vip?Kwa hiyo riba unaweza kusema ni ndogo sana ila kwa wale wenye mitaji ya billions of dollars ndio wanajua faida yake.
Kuhusu hizo riba kwenye benki zetu kuwa kubwa ni kutokana na ule uhakika wa pesa ya mkopeshaji ambayo ni benki kurudi.
Unaweza ukafanya hivo mkuu maana dollar kwa mbeleni itakuwa ipo strong sana. Sidhani kama hapa tulipo inaweza kuja kushuka tena chini ya 2000Kwa maana nyingine Davion Delmonte Jr. huu ndio muda wa kununua dollar na kuzifungia kusubiri ipande sio?
Umejibu vema mkuu.Kwa nchi km US fedha take yan USD haipotezi thaman kirahisi kama sh yetu ndo maana riba ni ndogo kiasi hicho. Afu pia kule taasisi za fedha zmeendelea sana kwa hiyo uhakika wa mikopo kurejeshwa bila usumbufu ni mkubwa tofauti na huku kwetu. Pia tambua kwamba benki kuu haitoi mkopo kirahisi kwenye hizi Benki za biashara. Inatokea Mara chache sana ndipo benki kuu hukopesha Benki za biashara pale ambapo haziwezi kupata fedha kutoka vyanzo vingne. Kupanda riba kwa asilimia mia moja kuna target Fulani kiuchumi Ila hasa hasa ni kuboost soko la hisa pamoja na mauzo ya bonds za seriiali. In hayo machache
Sawa mkuu pamojaKitufe cha like hakipo, inabidi nicopy mzingo mzima ili niseme ASANTE kwa material
Unaweza ukafanya hivo mkuu maana dollar kwa mbeleni itakuwa ipo strong sana. Sidhani kama hapa tulipo inaweza kuja kushuka tena chini ya 2000