Banki Kuu yaanika ukuaji wa Tanzania kuwa 5.2% kinyume na takwimu za serikali

Leta hio screenshot ya bundle ya kawaida inauzwa 2000tsh for 15GB tukuaminie
 
Ahhaaa, Asante sana kwa kuleta hio taarifa
Naanza kushuku uwezo wako wa kuelewa........ Cheapest bundle ya 15 GB inauzwa 25,000tsh na si 2,000tsh kama ulivyosema hapo awali......
Alafu pia cheapest GB daily data bundle ni za zantel na halotell ambazo ni 1.5GB for 2000tsh amabyo huku Kenya unapata 2GB from telkom na bei hio hio

hii ndo shida ya watu ambao wanaongea bila kutumia takwimu!umekua ukijittungia story za vijiweni tu bila aibu
 

usome mpaka chini boss acha kutia aibu
 

I don’t buy your argument if you conclude basing on number of Kenyans in TZ what would you say for the Chinese outside China in relation to their economic growth. It is wrong to say the WB is publishing wrong reports while it is using same data from member states. Let us agree to call a spade a spade instead of trying to look for some excuses. We should ask our self how does the world bank benefit by preparing wrong report for our economy. According the standard of living that we are all seeing there is no doubt that our economy is shrinking but the problem is at what percentage. To continue arguing that our economy is growing we will delay the timing of taking corrective measures to avert the situation
 

Yeah you said a word: personally i dont like there reports so never bother about them, as i said on my early post that its high time that we should take a close look on ourselves personally: it would even be a much better approach to have joint ventures
 
Umesahau njugu za karanga za Diamond
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ila mkaona kenya ni mhimu sana katika hii forum...ndio mkaona mutuekee jukwa ndio tuje tuwafunze mambo yanvyokwenda...

Sai kidogo naona mnajua kujadili mada kw ufasaha...kisa kenya news kuna wakenya wenye wanajielewa...
Ukitaka kujua km watanzania hawajui ku debate nenda katika yale majukwaa yao km hukutukanwa na kurudi hku...

Kenya akili kubwa bana..[emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382]
Made by Tanzanian: kwamba ata kutengeneza famous site yenu memshindwa ama
 
Byda...what do you mean by saying "famous site"[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ccm hoyeeeee..hta kutetea hoja yako hujui
Made by Tanzanian: kwamba ata kutengeneza famous site yenu memshindwa ama
 
Biggest economy oyaa πŸ˜‚ mtabaki kutapatapa

 
Hohohooooo...nimekukamata...wakati unasema serikali ya kenya ilishe watu wake ulikuwa umekunywa konyagi sio...sai nakupa marejesho..unalialia...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
kama huna point ya msingi ya kuongea just relax bro, not everyone is interested in all these shitty words:
 
Hohohooooo...nimekukamata...wakati unasema serikali ya kenya ilishe watu wake ulikuwa umekunywa konyagi sio...sai nakupa marejesho..unalialia...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Seems huna pointi bro, kua kimya tu, prezida wa tz anazunguka kijiji na kijiji wengine wanakaa ofisini mwaka wa kwanza mpaka wa kumi, unategemea nn? Ndo mambo kama haya strongest economy, on the same time citizens are dying of hunger: Take some lessons from the prezida wa tz: my whole point on this thread was that, we are tired of these reports and we have always disapproved them, sasa other presidents ata kutembelea citizens wao wa vijijini hawafanyi ivo unategemea nn? You end up kuona tu msafara umepita and that's it, umekula hujala just know that your living in a strong economical country, thats it: magufuli anatembelea villages alot of times and he has all the power to say this report is wrong and this is right, by the way bro: most Kenyans love magufuli deep down and we know that, one evidence on this angalia video za magufuli YouTube pitia comments: most Kenyans love wcb and sio LA kuuliza, we are showing you how things are done, so kama huna evidentical point to clarify your ideas better just shut it up, watch from your neighbours and learn skills
 
Byda...what do you mean by saying "famous site"[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ccm hoyeeeee..hta kutetea hoja yako hujui

Have you noticed most Tanzanians are tired of explaining things over and over to Kenyans?? The most important thing here, youths of Kenya are the next leaders, take back the ownership of your beloved country to your beloved citizens, take ownerships of anything that belongs to the nation so far I only have heard of Kenya airways and Kenya port authority isn't fully to the citizens, unlike tz its 100% to the country: mtaendelea na reports mpaka lini? Till when will aljazeera report hunger in kenya?, yaani kwel na kua strong economy mmeshindwa kabisa kuonyesha ubabe wenu kuongoza pride of Africa (KQ) come.on man, even the port bro?? Basi ata mmngewapa wazawa wafaidike, mmewapa IMF... guys this is a joke
 


Strong nations hazikubaligi vitu kirahisi mpaka reason ziwekwa mezan: see how strong nations act, Korea, China, USA, RUSSIA just to mention a few: wana maaamuzi, Leo ukiskia marekan na China wanavogombana ata IMF hawaongei lolote, USA and China trade war znaonekana kabisa mtu flan apa anafaidika zaidi, na wanakinukisha, watu wanakaa mbal kabisa wanasema leo watu wameongea, sasa ndugu zetu nyie πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚: mna utan mjue, mko busy na reports kenya , kenya, Kenya instead of fixing real life issues znazoonekana kabisa: shauri wenu wazee WA reports na statistics
 
BRO UNANIFANYA NACHEKA MPK NATEMA UDENDA AISEE.
AAAAH UNAVYOWASEMA AISEE DAH.
ILA SIKIO LA KUFA HALISIKII DAWA.
 
BRO UNANIFANYA NACHEKA MPK NATEMA UDENDA AISEE.
AAAAH UNAVYOWASEMA AISEE DAH.
ILA SIKIO LA KUFA HALISIKII DAWA.

Aaah these people ni wagumu sana kuelewa ata watu wameshachoka kuongea nao, wanabaki tu kumpenda magufuli kimoyo.moyo, mtu anakuja apa comment nyiiiiingi wakati mwaka wa 5 huu aljazeera wanatoa taarifa Zenye msingi kuliko izo reports zao, magufuli alishakataa izi reports tokea kitambo, hua anaenda vijijini kila SKU hakai ofini yeye, anaenda tatua issues kiuhalisia, na ukipitia videos za magufuli, NDo hawa hawa wanalia wanampenda Magu, wakat yeye anasolve matatizo yalipo nchini, izi reports tumeshapewa tokea Uhuru mpaka leo akuna tulichoambulia, ata magufuli alishasemaga akunaga vitu ngumu kama ya uchumi
 


Wanafunzi wanagraduate wanajiua maisha magumu Kenya, imefika.hAtua mmoja anarecord mtu kafa kwa njaa(ALJAZEERA) mwingine anatoa report za hongera, (IMF) na cha ajab hao hao waliotoa report za hongera saahv wanasema Kenya shilling is 30% valueless, what type of youths are you guys, ifike mahali we are tired , tuunge mkono jitihada za maraisi wetu, wakina Magu, kagame.. Na wengine wote ambao wameshakataa kuendeshwa na hawa wazungu kwa nia yoyote ile, hatujaletewa elimu ili watu waje waseme uchumi unakua wakati mamilioni hawana maindi, izi reports ztaendelea kuwepo daima na daima; but so far imeshafikia pabaya, what's the use of me leaving in turkana reading news kama.izi and on same time najua I have only today to live?? What's the use of having all these reports while I can't enjoy my internet in peace?? I can't enjoy my country has an airplane , I can't enjoy my country port service?? These reports are a big no, we need leaders ambao wataenda vijijini kwa watu na kuhakikisha wamekula, to hell on the reports we need peace and we need to enjoy our nation, ukitaka nyimbo zetu lazma ujue tunakipenda kiswahili chetu, hutaki pita kushoto, we aren't pleasing anyone, ukileta vurugu kama IDD amini MANENO machache tu, are we together my fellow Kenyans who once told the world mt.Kilimanjaro is in Kenya?


So much will be said to make everyone one happy but deep down we know how deadly everything is, at one point the said Kenya ranked the best in peace index and tz scored the lowest, while unajua hao woria wanavowanyima usingizi, am staying in a country with high peace index while deep down najua shambulio linaweza tokea anytime, LORD SAVE US
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…