Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Asante sana mkuu Franz na wengne wenye constructive ideas kama hzi,kwel nimejifunza mengi sana nadhan sasa nachukua step nyingne,,but pia niombe tujadili njia nyingne za kuweza kupata mtajiMkuu kwanza nikupongeza kwa kuchukua step kubwa kwenda benk kuomba mkopo kwani ni wachache sana wenye huo ujasiri.
Pili usikasirike kwa kutopewa mkopo in your first attempt kwani umejifunza kitu kikubwa kuliko unavyodhani, wengi tumepitia njia hiyo wala usikate tamaa.
Unapokopa Bank, dhamana sio kitu pekee kinachokupa uhalali wa kupata mkopo, Bank wanaangalia historia ya biashara na mzunguko wa fedha katika biashara yako(Cash flow) na jinsi gani mzunguko huo utawathibitishia uwezo wako wa kurejesha mkopo.
Mfano mfanyakazi anapewa mkopo kirahisi kwa sababu bank inauhakika kila mwisho wa mwezi mfanyakazi ana mshahara hivyo ana uhakika wa kurejesha mkopo kila mwezi kwa mudo wote wa mkopo ukiachilia mbali risky za kifo ambazo zipo covered na insurance.
Mfano mwingine ni Mfanyabiasha aliye na Biashara tayari anakopesheka kirahisi kwasababu bank inaangalia historia ya biashara yake na mzunguko wa fedha kwenye hio biashara kwa muda fulani na kujiridhisha uwezo wa biashara hio kurejesha huo mkopo on monthly basis.
Bank hunapata wakati mgumu kukopesha biashara mpya kwasababu hawana historia ya hio biashara,hawana taarifa ya mzunguko wa fedha wa hio biashara na hawana ukakika kama hio biashara itaweza kusimama na hata ikisimama hawana uhakika kama itaendelea kusimama kwa muda wote mpaka mkopo wote urejeshwe.
Ushauri tu Kama biashara ni kilimo itabidi utafute njia nyingine ya kupata mtaji na ufanye kilimo chako kisasa huku ukirekodi vizuri mlolongo mzima wa biashara yako. Ikiwa na histotia nzuri ya uhakika especially ukiwa na potential buyers wa uhakika wa mazao yako unaweza rudi tena benki this time well prepared with all financial statements with you.
All the Best Mkuu katika kujifunza na Kuelekea mafaniko.
Equity mkuu ndo imekua godfather siku hzLeo nlipita ktk bank 5 tofauti kuulizia taarifa za mikopo kwa wajasiliamali:niliwatembelea CRDB,NMB,TPB.Barclays na MUCOBA, kifuatacho ndicho nilichokipata:
1. CRDB,NMB,TPB na MUCOBA
Hawa jamaa wanakopesha wafanyakazi wa serikali au mfanyabiashara mwenye biashara tayari inamaana kwa sisi tunaohitaji mtaji kwaajili ya kuanza biashara hatuna nafasi regardless una asset gani ya dhamana..
Mfano mimi nina kiwanja kimepimwa pia kinajengwa lakini wamesema sina nafasi kwakuwa sina biashara inayorun.
2. Barclays wao ndo hawana mpango kabisa wa kukopesha mjasiliamali.
Kiukwel nimehuzunika sana kwa ubaguzi huu nina asset to be used as security bado nafanya kilimo lakin sikopesheki?, dah tufanyaje sisi??
Asante sana mkuu Franz na wengne wenye constructive ideas kama hzi,kwel nimejifunza mengi sana nadhan sasa nachukua step nyingne,,but pia niombe tujadili njia nyingne za kuweza kupata mtaji
Nenda TIB au TADB, hizo benki zingine hazikopeshi mitaji bali working capital.Leo nlipita ktk bank 5 tofauti kuulizia taarifa za mikopo kwa wajasiliamali:niliwatembelea CRDB,NMB,TPB.Barclays na MUCOBA, kifuatacho ndicho nilichokipata:
1. CRDB,NMB,TPB na MUCOBA
Hawa jamaa wanakopesha wafanyakazi wa serikali au mfanyabiashara mwenye biashara tayari inamaana kwa sisi tunaohitaji mtaji kwaajili ya kuanza biashara hatuna nafasi regardless una asset gani ya dhamana..
Mfano mimi nina kiwanja kimepimwa pia kinajengwa lakini wamesema sina nafasi kwakuwa sina biashara inayorun.
2. Barclays wao ndo hawana mpango kabisa wa kukopesha mjasiliamali.
Kiukwel nimehuzunika sana kwa ubaguzi huu nina asset to be used as security bado nafanya kilimo lakin sikopesheki?, dah tufanyaje sisi??
pole sana mkuu,ila watafikaHuku nliko equity bado hawajafika
Ndo shida ya kukimbia shule hyo.....ungekuwa na shule usingeleta huu upuuz hapa
Nenda Access bank tatzo riba yao utajuta..na usiombe ukakwama marejesho hata siku moja utajuta.Leo nlipita ktk bank 5 tofauti kuulizia taarifa za mikopo kwa wajasiliamali:niliwatembelea CRDB,NMB,TPB.Barclays na MUCOBA, kifuatacho ndicho nilichokipata:
1. CRDB,NMB,TPB na MUCOBA
Hawa jamaa wanakopesha wafanyakazi wa serikali au mfanyabiashara mwenye biashara tayari inamaana kwa sisi tunaohitaji mtaji kwaajili ya kuanza biashara hatuna nafasi regardless una asset gani ya dhamana..
Mfano mimi nina kiwanja kimepimwa pia kinajengwa lakini wamesema sina nafasi kwakuwa sina biashara inayorun.
2. Barclays wao ndo hawana mpango kabisa wa kukopesha mjasiliamali.
Kiukwel nimehuzunika sana kwa ubaguzi huu nina asset to be used as security bado nafanya kilimo lakin sikopesheki?, dah tufanyaje sisi??
Kiwango chako cha elimu tafadhali????
Mkuu unadhan ni peke yako umesoma nchi hii?.acha ujinga wewe usijifanye mjuaji wakat hapo ulipo ni matako tu huna mbele wala nyumba ukute unaishi kwa shemej yako na elim uliyonayo,Ndo shida ya kukimbia shule hyo.....ungekuwa na shule usingeleta huu upuuz hapa