zipo km crdb na nyingine tu! Ila credit card sahau kabisa!
Wapo Exim Bank lakini ya kwao wanaiita credit card.lakini mimi hiyo ni Debit card.
Kwani Una deposit 5000.000 halafu wanakupa Master card yenye 5000,000 ili uweze kufanya online shopings!
Thanks
Yeah ya exim ni credit card/debit card mix, unaweza kutumia sehemu yoyote online inayokubali master card credit cards lakini inabidi ujaze hela kama debit card, na juu ya hapo inabidi uende benki kulipia kiasi ulichotumia kwenye cadi otherwise wanakucharge interest.
kwa hapa kwetu wana debit card ukitaka credit card inabidi uweke pesa so kifupi akuna credit card na bank nzuri ni exim bank na crdb hope zipozingine ila exim naikubali zaidi na unaweza kujisajili na paypal