Banned kwa kutumia what'sapp

Banned kwa kutumia what'sapp

Amani Benson

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2023
Posts
658
Reaction score
1,502
Habari za muda huu JF members, kwa walio wahi kupitia hii kadhia mlijinasua vipi pia naomba kujua kwa undani kwanini tunakua banned as a spam ilihali hatupo hivo sababu hasa hua ni ni asante karibuni kwa michango yenu.
_20241121_145311.JPG
 
View attachment 3158067
Nimewahi kuchezea ban la maana account yangu ya kwanza niliambiwa namba yangu haitoruhusiwa kutumia whatsapp tena. Ikabidi nifungue account nyingine tu asee sikuwezi uikoa ile account
 
Hivi hasa inakua sababu nini afu wanasema baada ya masaa 24 ndo wanarudisha
 
Na watu unaeza kuta wamereport namba yako, japo kwa mimi sikuambiwa after 24hrs itarudi mimi ni forever ile namba haiwezi kutumika whatsapp
Kwamba wame report mimi ni tapeli au
 
Back
Top Bottom