Amani Benson
JF-Expert Member
- Nov 21, 2023
- 658
- 1,502
Nimewahi kuchezea ban la maana account yangu ya kwanza niliambiwa namba yangu haitoruhusiwa kutumia whatsapp tena. Ikabidi nifungue account nyingine tu asee sikuwezi uikoa ile accountHabari za muda huu JF members, kwa walio wahi kupitia hii kadhia mlijinasua vipi pia naomba kujua kwa undani kwanini tunakua banned as a spam ilihali hatupo hivo sababu hasa hua ni ni asante karibuni kwa michango yenu.
View attachment 3158067
Hivi hasa inakua sababu nini afu wanasema baada ya masaa 24 ndo wanarudishaNimewahi kuchezea ban la maana account yangu ya kwanza niliambiwa namba yangu haitoruhusiwa kutumia whatsapp tena. Ikabidi nifungue account nyingine tu asee sikuwezi uikoa ile account
Na watu unaeza kuta wamereport namba yako, japo kwa mimi sikuambiwa after 24hrs itarudi mimi ni forever ile namba haiwezi kutumika whatsappHivi hasa inakua sababu nini afu wanasema baada ya masaa 24 ndo wanarudisha
Habari za muda huu JF members, kwa walio wahi kupitia hii kadhia mlijinasua vipi pia naomba kujua kwa undani kwanini tunakua banned as a spam ilihali hatupo hivo sababu hasa hua ni ni asante karibuni kwa michango yenu.
View attachment 3158067
Unatumia simu gani ? Na WhatsApp yako uliidownload wapi ?Hivi hasa inakua sababu nini afu wanasema baada ya masaa 24 ndo wanarudisha
Apana sio oppo lakini ni hizi hiz simu zetu za kijapan kweli kuna haja hiyo mkuuBadilisha simu hususani kama ni oppo old model, utakula ban daily
Kwamba wame report mimi ni tapeli auNa watu unaeza kuta wamereport namba yako, japo kwa mimi sikuambiwa after 24hrs itarudi mimi ni forever ile namba haiwezi kutumika whatsapp
Yah nunua simuApana sio oppo lakini ni hizi hiz simu zetu za kijapan kweli kuna haja hiyo mkuu