Banquet au karamu: Chakula maalum kinachoandaliwa kwa heshima ya mgeni

Banquet au karamu: Chakula maalum kinachoandaliwa kwa heshima ya mgeni

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Karamu au banquet ni chakula maalum kinachoandaliwa kwa heshima ya mgeni. Banquet ni nafasi ya mwenyeji kuonyesha uwezo wake kwa wageni wake.

Mwenyeji hupika chakula cha gharama, mara nyingi ni chakula kinachopatikana katika eneo lile au chakula cha asili cha mwenyeji, mvinyo na maongezi huambatana na banquet.

Hii ni banquet ya mwaka 1904

Banquet aliyoifanya Yesu Kristu Alhamis Kuu ndiyo inaayokumbukwa kuliko zote zilizopata kutokea.

1626584305815.png
 
Back
Top Bottom