Banyamrenge, walowezi wa kitutsi nchini Congo DR ambao wanadai ardhi ili waanzishe taifa lao

tangu lin mgeni anataka mapinduzi nyumbani kwako?hao bunyamulenge sidhani kama watapata hilo jimbo kirahis hivyo,ingali wazawa wapo
wanaangalia, hii vita ni ngumu aisee,ni sawa kenya waje Tz alafu wanataka mkoa wa dodoma au DAR uwe jimbo lao aisee pataumana apo..
 
hii kitu taaamu saaana kutoka maktaba za siri
 
Safi sana, M23 ndio maana tunawavuruga kwelikweli Ila sasa tunatumika bila kujua kwamba hapo tumewekwa kama chambo tu kusimamia maslahi ya wazungu wa upande mmoja maana nao M23 Wana wazungu wa upande mwingine ambao wanataka wakipewa eneo lao wawauzie madini nk.
 
Story iko pouwa ila umesahau tu kusema kua katika majeshi yaliomsaidia kulikua pia na majeshi kutoka tanzania ndio maana Rwanda walishindwa kabisa kumpandikiza mtu wao kuongoza Kongo.Na jeuri ya Laurent Kabila ililetwa kwa sababu ya majeshi ya Tanzania,.Nakumbuka walinzi wa Kabila wa mwanzo kabisa karibu wote walikua watanzania, kuna jamaa nilisoma nae UDSM alikua Tiss ndio alikua mlinzi wake mkuu wa karibu, nafikiri baadae waliondoka na ndipo Kabila alivyokuja uawa na kijana mlinzi wake Rasheed baadae .
 
Vjana wangekuwa wanaasoma mambo Kama haya yakuijua dunia

Kumbe vita hii ya bakongolee mzizi upo hapa

Swal kwa mleta mada Kuna Hawa waasi wa MAIMAI nao n moja ya jamaii za banyamulenge au ni tofauti?

Kama tofauti wao wanapigana na adui gani?

Kifupi kaz nzuri sana
 
wapewe tu ardhi hao watuts,congo ni li-linchi likubwa sana,mbona wazungu walipoigawa afrika waafrika hawakupigana?.....yaani wanachofanya wazungu ni sawa,lakini wanachofanya waafrika ni kosa,,,why?
 
wapewe tu ardhi hao watuts,congo ni li-linchi likubwa sana,mbona wazungu walipoigawa afrika waafrika hawakupigana?.....yaani wanachofanya wazungu ni sawa,lakini wanachofanya waafrika ni kosa,,,why?
Huoni Urusi inachofanya Ukraine,? Ina ardhi kubwa lakini imemega na inaendelea kumega ardhi ya jirani.
Kugawa nchi kutengeneza ki - nchi Ni shida na inaweza kuleta changamoto kadha wa kadhaa za kiusalama

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
MAI MAI ni wapiganaji wa kibembe huko kaskazini mashariki ya Kongo.ni kama waha na wamanyema tu.
 
Wale wahutu waliokimbilia DRC wanaitwaje? Rwanda haiwezim kuwa stable kama DRC itaendelea kuwa vile. Watapata tabu tu. Ni suala la muda
 
Hata Bongo huku washaanza Kudai ardhi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…