Banyamulenge ni wahanga wa Kagame

Kweli kabisa hiki kichwa hatari sana
 
DRC sijui ila wanyarwanda waliozaliwa uganda walipewa uraia na kabila lao linaitwa banyarwanda na wanatambulika kisheria Uganda
Kuna sehemu nilisoma wanasema "Watutsi wa Drc huitwa wanyamulenge ila watutsi wa Drc waliohamia huko kutokea Rwanda huitwa Banyarwanda" (sina hakika Sana na hili)...

Inasemekana serikali ya Mobutu iliwafukuza hao Banyamulenge mwaka 1996 ndo ikawa chanzo cha kuanza Vita ya kwanza ya Congo.

zitto junior Moronight walker mtu chake
 
Upo sahii kaka bali hata uganda uitwa hivyo pia
 
88t Uko vizuri mkuu. Uchambuzi wako ni mzuri.
 
Fact mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…