Banyamulenge wamebaguliwa kuteswa, kunyanyaswa na kuuawa kwa muda mrefu, wana haki kujitetea ni raia halali wa drc tokea karne ya 18 na sio wavamizi

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni nyote?

Ukweli lazima usemwe

Watu wa kabila la banyamulenge huko kivu kusini wamehamia hapo tokea karne ya 18 hivyo wao ni raia halali na siyo wavamizi

Wamekuwa wakibaguliwa , kunyanyaswa, kuteswa, kubaguliwa na kuuawa na makabila mengine pamoja na Serikali

Bila aibu Serikali ya Mobutu iliamua kuwapokonya uraia wao 1996 na kisha kuazimia kuwafukuza nchini kana kwamba wao ni wakimbizi

Makabila kama wabembe wamewachukia wanyamulenge miaka mingi na ukifuatilia ni visa au sababu za kipuuzi kabisa eti wamejitenga, wanajisikia, wana dharau na wanajiona.

Banyamulenge ni matajiri kutokana na shughuli za ufugaji na desturi zao ziko tofauti kidogo na makabila mengine hivyo hiyo ndiyo imechangia chuki kubwa dhidi yao!

Wlianza kuteswa baada ya uhuru 1960 lakini kabla ya hapo walikuwa wakiishi kwa amani na wenzao

Ni wachapakazi na hodari kwenye mambo mengi hata jeshini na walichangia pakubwa kumuondoa Mobutu na kuikomboa drc

Banyamulenge lazima wajitetee kwa nguvu zote hivyo PK nakuunga mkono endelea kuwapelekea moto hao wabaguzi na wauaji wakubwa

Kama Serikali imewachoka basi waruhusiwe kujitenga na kuwa na nchi yao ya kivu kusini

Viva banyamulenge
Viva PK

Tafakuri ya kina kwa wenye hekima
 
Waingizwe kwenye Jeshi la DRC Jeshi la Congo lina uhaba mkubwa wa Wapiganaji.
 
Sorry waliamia kutokea wapi?
KAZI ni kipimo cha UTU
 
Wadau hamjamboni nyote?

Ukweli lazima usemwe

Watu wa kabila la banyamulenge huko kivu kusini wamehamia hapo tokea karne ya 18 hivyo wao ni raia halali na siyo wavamizi

Wamekuwa wakibaguliwa , kunyanyaswa, kuteswa, kubaguliwa na kuuawa na makabila mengine pamoja na Serikali

Bila aibu Serikali ya Mobutu iliamua kuwapokonya uraia wao 1996 na kisha kuazimia kuwafukuza nchini kana kwamba wao ni wakimbizi

Makabila kama wabembe wamewachukia wanyamulenge miaka mingi na ukifuatilia ni visa au sababu za kipuuzi kabisa eti wamejitenga, wanajisikia, wana dharau na wanajiona.

Banyamulenge ni matajiri kutokana na shughuli za ufugaji na desturi zao ziko tofauti kidogo na makabila mengine hivyo hiyo ndiyo imechangia chuki kubwa dhidi yao!

Wlianza kuteswa baada ya uhuru 1960 lakini kabla ya hapo walikuwa wakiishi kwa amani na wenzao

Ni wachapakazi na hodari kwenye mambo mengi hata jeshini na walichangia pakubwa kumuondoa Mobutu na kuikomboa drc

Banyamulenge lazima wajitetee kwa nguvu zote hivyo PK nakuunga mkono endelea kuwapelekea moto hao wabaguzi na wauaji wakubwa

Kama Serikali imewachoka basi waruhusiwe kujitenga na kuwa na nchi yao ya kivu kusini

Viva banyamulenge
Viva PK

Tafakuri ya kina kwa wenye hekima
Wanyamulenge ndo wameteka goma juzi?
 
Back
Top Bottom