Bao moja hoi

Lutala

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2010
Posts
848
Reaction score
104
Mwenzenu nahitaji ushauri.

Kwa muda muda mrefu nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo la wakati wa tendo la ndoa, baada ya kupiga bao moja huwa nakuwa hoi kabisa. Kama nikitaka la pili lazima niuze timu (niende pekupeku).

Nifanyeje ili niweze kuwa na nguvu za kuenda hata mabao matatu ndani ya kiroba. Nahiataji msaada wenu jameni
 
mabao matatu unataka ya nini? kwani unataka kumkomoa? mimi kiukweli sioni hili tatizo unalocapitalize, as long as both of you get satisfied sioni kwa nini unataka mabao 3 wtf? Tubadilike, tuangalie sex from a different angle na sio tu kupiga mabao,..........sorry kama nimekukwaza.
 
Shem muombe radhi umemkwaza sana kwa vile tu ni ukweli...ukweli huwa unakwaza
 
Moja linatosha! Labda pata moja usiku na moja asubuhi! Matatu!!!! Mhhh! Unataka kuwa Brazil?
 
Nimekuelewa Carmel. shida ni kwamba ukikaa na washkaji kila m2 anajisfia kwa uhodari wa kupiga mabao
 
Mwenzenu nahitaji ushauri. Kwa muda muda mrefu nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo la wakati wa tendo la ndoa, baada ya kupiga bao moja huwa nakuwa hoi kabisa.

**Baada ya kupiga bao 1, vuta subira kidogo na uendelee na game. Unaweza kupiga la kwanza kisha 'mashine' ikanywea!! Hali hiyo ikikukuta usishtuke wala usichomoe mpini! Endelea kutwanga polepole huku ukijifanya/pretend kana kwamba unasikia utamu! Baada ya dkk kama 2-3 hivi kitu kitaenda mnara fasta! Hapo hapo chomoa na ubadili mpira kutoka tango master na utumie jabulani hahaha (kidding); namaanisha kubadili mpira tu. Vaa fasta kaza soksi kisha endeleza game.

Angalizo: usitumie muda mrefu sana kubadili mpira. Kitu kitanywea. haina haja ya kujifuta jasho. Natumai utapiga tu japo goli la pili hata kama likiwa la 'offside' au la mkono poa tu. Goli ni goli tu ilimradi mwamuzi amesema mpira kati.:smiling:

Kama nikitaka la pili lazima niuze timu (niende pekupeku).

**uuum, kuwa makini mkuu, kama demu hamwamini usiuze timu! utajifunga bure!

Nifanyeje ili niweze kuwa na nguvu za kuenda hata mabao matatu ndani ya kiroba

**Nakushauri usiparamie tendo! Jiandae kimawazo na kimwili pia. Kimwili ninamaanisha usafi kwa ujumla. Uwe unapata usingizi wa kutosha na kama unahisi umechoka basi usipige game; utatia aibu! Utaishia kupiga kamoja tu. Tena kwenye 'sarawili' hahaha:smiling:
 
Huku bongo wazee wengi washajifia kwa viagra. Naogopa nisije nikawafuata marehemu
 
Nashukuru sana kwa ushauri wako Pape, nitafuata maelekezo hayo
 
Bao moja unapoteza Dakika 3 za maisha unless umekula chakula cha kufidia maisha yako.Kama umezoea chips kuku(zenye arv) afu unataka mabao kama Portugal walivyoifunga Korea basi unajiua mwenyewe.
 
Wanajamii nawashukuru kwa michango yenu. Siku njema
 
Bao moja unapoteza Dakika 3 za maisha unless umekula chakula cha kufidia maisha yako.Kama umezoea chips kuku(zenye arv) afu unataka mabao kama Portugal walivyoifunga Korea basi unajiua mwenyewe.

Jamani Charity unajua kidume lazima utunze heshima kitaaa
 
Bao moja unapoteza Dakika 3 za maisha unless umekula chakula cha kufidia maisha yako.Kama umezoea chips kuku(zenye arv) afu unataka mabao kama Portugal walivyoifunga Korea basi unajiua mwenyewe.
Ndiyo maana umri wa maisha ya mtanzania/mwafrika ni chini ya miaka 45 (kama sikosei); endapo huu msemo wako ni wa kweli!!:biggrin1:
 
Mkuu, umeambiwa kwenye huo mgodi kunapatikana tazanite? Mkuu raha ya hiyo kitu ule na ubakiwe na hamu, sasa wewe unataka umalize utamu wote ili iweje? we muweke mwenzio sawa ukiingia ulingoni mnamaliza kwa pamoja. hamna haja ya kwenda round ya pili.
 
Bao moja unapoteza Dakika 3 za maisha unless umekula chakula cha kufidia maisha yako.Kama umezoea chips kuku(zenye arv) afu unataka mabao kama Portugal walivyoifunga Korea basi unajiua mwenyewe.

Charity, naomba uthibitishe kauli yako tafadhali.
 
Nimekuelewa Carmel. shida ni kwamba ukikaa na washkaji kila m2 anajisfia kwa uhodari wa kupiga mabao

kumbe shida ni unataka kuwa kama washikaji? muhimu si mabao mengi bali kufurahia hilo moja kama wewe na mwenzio mnaenjoy its enough!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…