Bao moja hoi

AHSANTE KAKA ILA MAGOLI MENGI NDIO UBINGWA KTK GAME LOLOTE LIKE BASKET BALL KUNA POINT TATU.
ILA TU HESHIMA NDIYO MUHIMU WAJAMEN NA WAJAWOMEN ILA KAKA LQABDA UNA DEMU FULANI UNA MFUKUZIA NA AKAHITAJI MJIHELA MINGI HIVI UTAPIGA KIMOKO IWE BASI KAKA ITAKULA KWAKO MIE HAPO UNCOUNTABLE
WANASEMA :GET AS HOW YOU PAY
cONQUEST:USHINDI MAGOLI
 
Aja hizo wewe ujakuwa nini mastabesheni ni warm up ya gemu kama vipi huoni wachezaji hata wakitaka kuingia gemuni wanapasha ahaaa masalino inakuwaje kaka we acha tuu mie nikiwa na gemu na demu aliekuwa analeta mapozi mpauko lazima nianze kihivooo then hapo shughuli inakuwa big
kaka jitahidi au ulikuwa unatumia kuvu kama wasukuma sor wajamen maana nguvu kila sehemu hata kumega ugali
i like jf all be blessed
 
HAPO SAWA KAKA NI MATENDO KWANZA HOJA BAADAE KAMA MAENGIEERS NOT POLITICIANS
hau jamaa mlokole lakini cha ajabu nao wamezaliwa na wanazliana hakuna cha udini wala nini katika hili ni moja kwa moja
Conquest-maneno mengi umasikini
 
marhaba kaka hapo kweli ila unajua washikaji nao wanaboa hata mie nimetembea kilometa nyingi ila hapa nilipo sitoki kwani ni tofauti na zingine nasema ngoma tamu ile mbaya na feel sana cha muhimu ni kustick pamoja kama kunamapungufu munayamaliza au kurekebisha wenyewe,kwa mfano jamaa zangu wachaga wao kukata viuno ni tatizo kwao ila unakuta mashine ipo mbomba sasa unafanyaje basi unampa somo then anaelewa kwani pilau ilianza na kachumbali basii ila ni watu tu kutafuta cha juu kuongezea ladha,
i like jf
Conquest-nipo nimahaba zaidi hata mlima unavunjwa
 
Tumia red bull kaka,utafunga bao nyingi na kwa muda mrefu sana.Si mchezo kinywaji hiki mie nikitumia kama nina gemu ni goli 4 na kuendelea-- nimewahi kupiga mpaka 6 sio mchezo.
 
hapo mutakuwa munakosea moja kwani anaumwa kisukari au bp kaka jitahidi yaani hivi:moja before kulala then mid9t moja and ile jogoo ajawika moja hapo itakuwa raha kimoko asubuhi utaamka na uchovucha muhimu ni mazoezi kama ni wagari sana jitahidi kuliacha siku mojamoja na msosi waukweli natural food sio sosag na chips,uji wa ulezi au karanga na supu supu za uswazi nazo zinamchango wake.au unakitambi kaka.
Conquest:kimoko haridhiki mtu.
 
poa roselyne inakuwaje wangu ,naoja jamaa yangu anatafuta suluhu ya kimoko chake haya mwache azembee game magoli
 
mkubwa unataka apigane na huyo dk je akiambiwa ngoma ndio safari ya ukingoni weye utakubali acha hizo checkup zingine lawama ajaribu kula misosi ya kuongeza speed then atry vinginevo imekula kwake aihitaji checkup
Conquest-mto aupimwi kwa mguu
 
Upele upele upeleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 


Suala hapa si bao,la msingi ni bao la namna gani unalopiga golini.Penalt,offside,shuti,au la mpira uliokufa.Teh!teh!
 

Pole sana. Usipate shida tatizo hili linawakuta wanaume wengi na sio wewe tu. Tunawasaidia wengi kupitia tiba mbadala, nitafute kupitia e-mail byongje@gmail.com. Nitakushauri kiumakini na tatizo lako litaisha.
 
jiulize mpenzio anaridhika na hilo moja? unaweza piga hata 10 usimridhishe. sex for leisure sio kombe la dunia hilo.

ukisikiliza mambo ya mitaani eti washikaji hutaka ufanye jambo wengine wana miaka haijasimama but wanajisifu tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…