Bar code

Atui

Senior Member
Joined
Jun 18, 2022
Posts
178
Reaction score
221
Wakuu hivi mchakato wa kupata barcode kwa mjasiriamali mdogo ukoje...Kuna mdau alisema ni pale ofisi ya mkuu wa wilaya ya ilala ndio ofisi zilipo ni sawa.
 
Kwani hiyo barcode ina kusaidia nini wewe mjasiriamali Mdogo??
Barcodes ni muhimu kwa mfanyabiashara kwa sababu husaidia katika kufuatilia bidhaa, kusimamia hisa, kupunguza makosa ya kibinadamu, na kuongeza ufanisi katika mchakato wa mauzo na usimamizi wa hesabu. Pia, husaidia kwa urahisi katika kufanya ufuatiliaji wa mauzo na kukusanya data kuhusu bidhaa.

Hilo jibu la hapo juu nimelitoa ChatGTP.

Jibu langu mimi mteja, huwa nascan barcode iliyopo kwenye bidhaa kujua ni Og au fekero.
 
0715398988
huyo afisa masoko wa GS1 ndo wanaotoa barcode kwa sasa Tanzania zinazoanzia na 620


wapo msasani ofisi za Tirdo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…