Bar gani Tabata inauza bia nusu bei tabata?

Bar gani Tabata inauza bia nusu bei tabata?

Black ma colour

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2012
Posts
733
Reaction score
663
Kongole wana stars

Jamani tangazo la Makonda linavyosema,

Mimi npo hapa the great ila Nakunywa bia kwa bei ya siku zote.

Nataka na mimi ni enjoy offer ya Regional commissioner wetu.

#chiiiiiii itabaki juu, itabaki kileleni, everi badi sei yeee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ukiijua hiyo bar naomba unitag mimi niko hapa kwetu pazuri lakini hii ofa naona kama inanipita hivi.
 
Back
Top Bottom