Black ma colour
JF-Expert Member
- Nov 28, 2012
- 733
- 663
DAB bar ... Ilala bomaKongole wana stars
Jamani tangazo la Makonda linavyosema,
Mimi npo hapa the great ila Nakunywa bia kwa bei ya siku zote.
Nataka na mimi ni enjoy offer ya Regional commissioner wetu.
#chiiiiiii itabaki juu, itabaki kileleni, everi badi sei yeee
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna kituuu
Acha kulegea mkuu.. Mimi Niko natwanga bapa nikimaliza naingia Kwenye safari walau saa Tisa nikamwage tee.Micassa hapa manager wa bar kakataaa. Kule tabata mawenzi kuna bar safari nusu bei. Sasa a anywe safari????
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha vya bure utaliwa jicho mkuuKongole wana stars
Jamani tangazo la Makonda linavyosema,
Mimi npo hapa the great ila Nakunywa bia kwa bei ya siku zote.
Nataka na mimi ni enjoy offer ya Regional commissioner wetu.
#chiiiiiii itabaki juu, itabaki kileleni, everi badi sei yeee
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha vya bure utaliwa jicho mkuuKongole wana stars
Jamani tangazo la Makonda linavyosema,
Mimi npo hapa the great ila Nakunywa bia kwa bei ya siku zote.
Nataka na mimi ni enjoy offer ya Regional commissioner wetu.
#chiiiiiii itabaki juu, itabaki kileleni, everi badi sei yeee
Sent using Jamii Forums mobile app
Nusu bei ni bure ?