House4Rent Bar inapangishwa maeneo ya Kimara Baruti

House4Rent Bar inapangishwa maeneo ya Kimara Baruti

kenneth jr

New Member
Joined
Jun 18, 2016
Posts
3
Reaction score
2
Bar inapangishwa na kila kitu viti na meza pamoja na cooller mbili moja ya TBL na nyingine ya Coke luku yako mwenyewe ina sehemu ya indoor inaitaji marekebisho kidogo choo chako mwenyewe jiko lipo na kuna sehemu nje ya kuweka viti kubwa na packing ya kutosha kabisa bei ni sh 30,000 kwa siku hii na pamoja na jiko.

Kwa mawasiliano 0754297298.
 
Bia hazinyweki kwasasa. But ukiwa na bar ukiweka wahudumu wakali na Jikoni kukiwa kuzuri lazima uuze tuu.
 
Malipo ni kwa mda gan? Af ungeelea location vzur kdogo mfano ipo barabara kubwa na mengne
 
Malipo ni miezi sita na maongezi yapo bei inashuka mpaka 25000 per day
 
Back
Top Bottom