Bar; kijiwe cha wote

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Ni sehemu wanapokutanika wabaya na wema
Wachawi na watakatifu
Wapiga dili na wenye kazi za halali
Wabangaizaji na watu wa mishemishe
Vikao mbalimbali na hata makongamano yenye tija
Masela changudoa nk wote makutano yao ni bar kama sio ghetto
Ndio maana bar kuna paka wa kila aina nao wana categories zao....!!! Usimuone paka wa bar anakula viazi mkaango vyenye kachumbari na tamato au mboga mboga ukadhani ni paka wa kawaida....UMELIWA [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji26] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Bar utakutana na wakubwa back in day mzee moja alinipiga mkwara eti we denti nenda shule nikamuambia shule niende usiku huu ?
 
Bar utakutana na wakubwa back in day mzee moja alinipiga mkwara eti we denti nenda shule nikamuambia shule niende usiku huu ?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kumbe mainjinia (wachawi) hadi bar wanapiga mzigo!! Ama kweli [emoji1] [emoji1]
 
Kumbe mainjinia (wachawi) hadi bar wanapiga mzigo!! Ama kweli [emoji1] [emoji1]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…