Mzee wa Code
Member
- Sep 23, 2024
- 61
- 91
Wale tunaokujaga dodoma nadhani tunaifaham bar maarufu kwa misosi ya Mwanga Bar iliyopo Jijini Dodoma, nikiwa natoka zangu safari kanda ya ziwa nikasema nipite kula hapo kilichonishangaza ni rundo la matakataka ambayo inaelezwa yapo hapo kwa siku ya tano leo uku uandaaji wa chakula ukiendelea bila shaka na watu wameendelea kula kuku zinazoandaliwa karibu kabisa na matakataka hayo
Na mvua hizi zinazoendelea kunyesha nahakika kipindupindu na magonjwa ya kuharisha ni jambo la muda tu kwa watumiaji.
Na mvua hizi zinazoendelea kunyesha nahakika kipindupindu na magonjwa ya kuharisha ni jambo la muda tu kwa watumiaji.