Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,404
- 10,900
Wakati enzi hizo napata kinywaji uwezo wangu ilikuwa bia chini ya kumi Na sidhani kama nimewahi fikisha hizo bia kumi.Na Bia zangu nilizokuwa nakunywa ni zile ambazo gharama yake kwa bia Moja ilikuwa haizidi 3000. Lakini cha kujiuliza kila nikienda Bar chenji ninayorudi nayo Huwa haiakisi bia nilizokunywa.Unakuta nimeenda Bar Nina elfu Hamsini nimekula chakula cha elfu Saba.Nikaanza kuteremsha bia mpaka naondoka Sehemu hiyo maximum najikuta nimekunywa Bia Saba, 7×2500=17500
Plus elfu Saba ya chakula jumla ni 24500.
Ukiweka Usafiri wakati wa kurudi home 5000. Hapo Jumla kuu ni 29500.
IUkichukua 50000-29500 unapata 20500.
Lakini maajabu yake kila nilikuwa nikienda kunywa chenji ninayorudi nayo inakuwa haizidi 2000.Ikijitahidi sana 5000.
Hivi Hela nyingine Huwa zinaenda wapi?Hizi Bar zina Chuma ulete?