Bar na Restaurant daraja la kigamboni- Natafuta partner au mpangaji

J Tha Dj

New Member
Joined
Jun 4, 2017
Posts
3
Reaction score
3
Natafuta mfanyabiashara tushirikiane kwenye bar na restaurant yangu pale daraja la Kigamboni. Imekamilika kwa kiasi cha 85%. Ipo kwenye barabara kuu kama hatua 100 baada ya sehemu ya kulipia magari. Kuna eneo kubwa LA parking, kujenga car wash na kuweka michezo ya watoto.
Kama upo interested nicheki kwa namba 0657217441 tuongee biashara.
Kama mtu akitaka kuikodi aendeshe mwenyewe pia inawezekana.
 
Usinisahau Kuwa Meneja Mkuu lakini me Elimu yangu lasaba wala sitaki kugushi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…