Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Taja bar gani yenye mbususu za kuelewekaWakuu Karibuni Dodoma Ambako Kuna Bar, Lounge na Hotel NZuri Kwa ajili kula Gambe na Kuenjoy Pia.
.
Kuna Bar NZuri Kama Bambalaga, Pork Joint, Pestana Pub, New Royal Village.
.
Pia Kuna Malaika Annex, Kuna La Patrona, Chako ni Chako, Budaz Pub(Migombani? Waswanu Pub, Kuna Rise Up, Kuna Kito Bar.
.
Kuna Hotel Kama Southern Empire, Esperanza, nk nk... Karibuni Sana View attachment 2277285View attachment 2277286View attachment 2277287
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Warembo unawaita Kokote Wanakuja [emoji2][emoji2]Wapi wanapatikana warembo wazuri hapo dodoma
Bila kusahau kwa bubu muuza kuku wa kuchoma wa kienyejiWakuu Karibuni Dodoma Ambako Kuna Bar, Lounge na Hotel NZuri Kwa ajili kula Gambe na Kuenjoy Pia.
Kuna Bar NZuri Kama Bambalaga, Pork Joint, Pestana Pub, New Royal Village.
Pia Kuna Malaika Annex, Kuna La Patrona, Chako ni Chako, Budaz Pub(Migombani? Waswanu Pub, Kuna Rise Up, Kuna Kito Bar.
Kuna Hotel Kama Southern Empire, Esperanza, nk nk... Karibuni Sana
View attachment 2277287
Hawajamuibia kweliWakuu Yule jamaa anayetoa maneno mbofu mbofu anasema yeye ni usalama kumbe usalama wa faifa ni mambanga yakilew hanson choice wanaropoka namna hii [emoji23][emoji23]
HapanaHawajamuibia kweli
Vipi wizi hamna hapoHapana
Sijawahi Lewa kiasi cha kuibiwa ili kutiana makonde niliwahi mara moja tuVipi wizi hamna hapo
Mkuu kinalipa kilimo huko nataka nijitose maana plan yangu ilikuwa vitunguu singidaDODOMA
Pia kuna fursa nyingi kuanzia watu wenye mitaji midogo mpaka mikubwa...... uwekezaji kwenye Bustani, ufugaji, viwanja bila kusahau mashamba.
Kwenye mashamba waweza kujishughulisha na ukulima wa ZABIBU , ALIZETI, KARANGA, MPUNGA, MAHINDI , MBAAZI, DENGU na kadhalika......
Hapo hapo kwenye Kilimo waweza kujishughulisha na UNUNUZI wa mazao, kitu ambacho kimekuepusha na risks zote za kikulima.
NB: Wapendwa wenzangu tusijisahau ktk kuwekeza tukajikita kwenye starehe pekee.... life is too short unless ulikuta kwenu ni "READY MADE"
nenda kwa bubu- kuna kuku kienyrji nzuri saaanaDodoma miyeyusho sana
Bambalaga kwa mbaaali