Bar ya Aunty Ezekiel yafungwa

Biashara ngumu mjni jamani na miaka hii hata upigwe jeki kama haupo serious usanda kiulaini.

Na kama hio bar ipo karibu na makaz ya watu ndo kabisa shida nyingine hiyo... Tena ukute ndo ile mitaa kama ya ushuani raia hawawezi kukuelewa tofauti na huku uswazi kwetu kidogo makelele tumezoea, maana kila siku/weekend sherehe, mara vigoma, vigodoro hujakaa sawa tarumbeta zinapita za kwenda kusutana.

Biashara kwakweli inahitaji akili ya ziada hata uwe na jina mjini kama Huna ujuzi wa kui handle kazi ipo.
 
Hy HBD,ule ugomvi uliozuka ndio imesababisha hivyo bar kufungwa
 
Biashara ni nyoko, yaani ukiona mtu mjini anaendesha maisha yake na analipa bills zake kwa biashara yake tu mpe shkamoo maana anapambana sana. Huenda untie ameenda mapumziko na Iyobo wake na hawaamini wahudumu ni muda hawajakutanisha jinsia zao.
 
Ngoja nifanye kumuuliza mchepuko wangu hapo, ila nahisi zile kelele za jumapili ilikuwa tatizo mtu umelala unasikia kelele za spika ni shida sana.

Plus hapo palikuwa kijiwe cha mashoga, kuna siku nimeingia hapo nikakaa nilitamani kutapika, mashoga wamejaa kila kona hadi kero.

Halafu juzi kapiga mziki mkubwa kasahau amepakana na wana eagle ambao huitaji usingizi murua baada ya kutoka miangaikoni, hili ndio limepelekea lounge yake kufungwa, kibali cha kupiga mziki mkubwa kama ule hadi asubuhi ni kero hasa.
 
Biashara ni nyoko, yaani ukiona mtu mjini anaendesha maisha yake na analipa bills zake kwa biashara yake tu mpe shkamoo maana anapambana sana. Huenda untie ameenda mapumziko na Iyobo wake na hawaamini wahudumu ni muda hawajakutanisha jinsia zao.


Biahara ni chanhamoto kwakweli mm hata simcheki hata kidg!hapa napunguza stress aisee
 
Fact. Barikiwa.
Thread imeletwa kimbeya, inachangiwa kimbeya na kiudaku but umejibu kwa hoja ama facts zinazoeleweka.
 
Huyo alianziaga karibia ya kona ya kuelekea mwqnanyamala hosp akaifunga.... Mara akahamia mitaa ya kwamakoma akaifunga
Ndy Sasa hpo mitaa ya Regent karibu na kairuki napo we mmbea unasema pamefungwa....
Biashara zinawenyeweeeeee hizoooo

Ova
Biashara ya bar....
ni ya- ma - mangimeza
 

Binamu y kwel hay ? Mie naogopa ujue[emoji23][emoji23]
 

Ila umeelezea vizur, mi kwa kwel nimeumia Coz Aunty ni mpambanaji sana binamu
 

Mi nadhan location imemcost maana sio kwake shughuli y juzi , na hvi ilikua Party ya waswahil full makelele watu wakaona isiwe issue wamreport awaondolee kero , watu wameenda kupanga ushuani watulie wao wanapiga mikelele kama mijibwa iliyokosa wazazi
 
Umeumia au unataka ubuyu tuh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…