Bar ya Aunty Ezekiel yafungwa

Kwa Tanzania utapata watu wengi sana na haya maelezo yako lakini siyo mimi. Ni kweli katika biashara kuna ups and downs lakini nazo zinatakiwa ziende kimpango. Huwezi kuamka usingizini halafu ukaanzisha biashara bila kufanya research yoyote halafu unapofeli useme ni challenge za biashara. Hili ndilo walilonalo wabongo wengi. Akiona mwenzake kafungua bar na inachanganya na yeye kesho anaenda kufuangua sehemu yake bila utafiti wowote, ukimuuliza anakuambia nimeona fulani kafungua na inalipa. Maelezo yako yanajaza watu ujinga badala ya kuwaondoa kwenye tabia ya fuata mkumbo!
 
Unaleta nadharia za darasani wakati huo ujasiriamali unaosema ni tofauti na huu wanaoufanya hawa wadangaji,hayo uliyoandika sio kwamba ndio sababu ya kufungwa hiyo bar bali mdhamini kachukua chake,

Bro Ukisema Hivyo kuna Mabilionea tunao hadi sahizi watu wana waabudu wamefanikiwa kwa Hela za Urithi kuna Tofauti Gani Na Aunty Akimtumia Mwanamume Mpumbavu kujipatia Mtaji wa Millioni 10?

Mo Dewji leo Kila Mtu anamfuata lakini kafanikiwa Kwa Hela Za Familia! Haijarishi mtaji umeupata kwa Njia Gani Mwisho wa Siku Biashara ni Ngumu sanaa Uwe umelala mtaloni ili kupata mtaji au Mjinga Kajitokeza Kukupatia Kwa Tamaa zake bado hubadirishi maana ya Ugumu Wa Biashara
 

Ugumu wa biashara na Kufuata Mkumbo ni Vitu Viwili Tofauti! Ingekuwa Bango limeandikwa NIMEFUNGA BAR BAADA YA KUONA HAINIPI FAIDA KAMA NILIVYO AMBIWA hii ingekuwa kitu kingine lakini Pia Kwenye Biashaaraa KUIGA inaruhusiwa 100% Ndio Maana Tanzania Hamna Bar Moja Nchi Nzima! Kwenye Biashara Unaweza Nunua idea,Unaweza Azima idea,Unaweza Kuiba idea,Unaweza Fanya vitu vingi ili mwisho wa Siku Usimame na kitu kimoja! Kinacho zingatiwa ni HIGH INNOVATIONS na LOW RISK!

Huwezi kuifanyia RESEARCH BIASHA kabla ya Kufungua unless Uniambie neno Research lina maana Nyingine!

Bhakresa Alileta Twist,Mo Dewji Nae akaleta,Mwingine kaleta Azam Malt mwingine kaleta Apple Punch vitu ni vilevile ila Una vi innovate vipii ni Wewe sasa! Mwisho wa Siku maana ya Biashara itabaki vile vile.

And Naunga Mkono kwa Aunty Ezekiel Kufungua Bar Yes Alikuwa Sahihi!
 
Dansa kwani hana hela ya Ku-sponsor? Baba Biskuti jiongeze miuno mwachie Luiza Mbukku
 
Nimezungungumzia ile hali ya ''kila mtu'' kuiga aina fulani ya biashara bila kutilia maanani demand and supply. Hilo ndilo baya. Unakuta mtu kaona fulani kafungua duka la nguo yeye anakimbilia kufungua la kwake na yule na yule na wale.... mwisho wake unakuta mitaa yote imejaa maduka ya nguo yanayouza bidhaa zinazofanana. Kuhusu research yes... kabla ya kufanya biashara yoyote ni lazima ufanye research ya kina kujua mambo mengi. eg: mali utanunua wapi na kwa bei gani, demand ya bidhaa unayouza maeneo yale, competitors wako ni kina nani na wamekuzidi nini, utafanyaje ili uvutie wateja, gharama za uendeshaji... kuna mambo mengi. Ndiyo maana nikasema watu wengine wanakimbilia kuanzisha biashara bila kujua hasa mambo ya msingi kuhusu ile biashara. Hapo ndipo tunaingia kwenye ile hoja yako niliyokupinga kuwa biashara ni kujaribu na kujaribu na kujaribu bila kuwa uelewa wa unachotaka kufanya.
 
Wambea wenzangu kumbe Aunty alilala polisi usiku wa tukio , nasikia alizidisha mda wa party , kumbe Ndio maana wakafunga Bar yake , Sasa Sijui mpaka lin itakua Waz au ndo ishafungwa
 
Hzo code umeniacha mkuu
Mama biskuti ni nani
 
Kwani nani kamcheka?
wabongo tuna roho za kichawi.hapa jukwaani watu wanamcheka huyo dada wakati wao kazi zao ni kudanga tu..muheshimu sana mwanamke anaefanya biashara kwa mazingira ya hapa kwetu bongo,anakua kapitia vikwazo vingi sana.
 
Binamu habari ndo hiyo fatilia source zako utaona yaliyomo yamo. Mbn hata birthday ya Biskuti uncle sponsa ndo alifanya na akamyima mama mtu kumualika mkata viuno wa Diamond
Ila huyo anti sijui ana wazimu gani kumuita mwanae Biskuti (cookie) heheheheh

Daaah
 
Wale mabwabwa wanaojiuza pale wamemtia gundu
 
Tuzungumzie na Club ya Mkwele iliyopo Manzese, aisee jamaa anajaza sana watu.
 

Hongera sana ndugu wewe una ufahamu. Biashara mpaka isimame si mchezo kabisa
 
big up mkuu,,kila kitu ni kupambana na inafikia wakat fulani kwenye biashara ili usonge mbele lazima uwe na ujasili ulopitiliza ili ufanikiwe na bila kusahau uvumilivu usio na mipaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…