Bar ya Lady Jaydee kufungwa, mwenyewe afunguka

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Habari iliyotufikia leo hii, kutoka kwa mwanamuziki mkongwe wa r n b nchini, Judith Wambura Mbibo au maarufu kama Lady Jaydee, ni kuhusu kufungwa kwa biashara yake ya Bar n Restaurant aliyokuwa akiifanya kwa takribani mwaka wa nne sasa toka mwaka 2011, bar hyo iliyotambulika zamani kama nyumbani lounge na baadae kubadilishwa jina kuwa Mog n bar restaurant .

Msanii huyo alifunguka kupitia ukurusa wake wa Instagram kuwa ifikapo mwisho wa mwezi huu atafunga biashara hiyo na kuahidi kuja na kitu kizuri zaidi baada ya miezi mitatu ijayo, pia alimshukuru mwenye eneo hilo kwa kumpangishia na kumpa ushirikiano mzuri toka aanze kupanga eneo hilo.
 
Attachments

  • 1431693172357.jpg
    1431693172357.jpg
    26.3 KB · Views: 5,016
Wambea wenzagu mnakaribishwa na nyie kusema ushuhuda wenu, najua kila mtu atakuja na unabii wake apa, mwenyewe ndio kashasema anaboresha biashara so muache midomo ovyo
 
Labda kaona hilo eneo biashara haitoki kwa sasa hivyo kapata eneo lingine ndio anataka kuendeleza biasha yake huko.
Haya na ngoja tusubiri.
 
Binamu unataka watu wasutwe...

Wambea wenzagu mnakaribishwa na nyie kusema ushuhuda wenu, najua kila mtu atakuja na unabii wake apa, mwenyewe ndio kashasema anaboresha biashara so muache midomo ovyo

Ngoja kwanza baada ya hiyo miezi 3
 
Labda kaona hilo eneo biashara haitoki kwa sasa hivyo kapata eneo lingine ndio anataka kuendeleza biasha yake huko.
Haya na ngoja tusubiri.

Nimeanza kumkumbuka Gardner, jide alipoteza wateja wengi baada ya kuachana na Gardner na beef la clouds, wafanyabiashara haipendezi kuwa na mabeef mnajiaribia wenyewe
 
Lakini binamu mimi simlaumu Jide kwa hayo maana ulitaka amkumbatie Gardner biashara iende vizuri huku moyoni hana amani?
Au aendelee kuwakumbati clouds huku moyoni akijua kwamba ni wanafki na wanachuki nae?
Kwangu AMANI YA MOYO naipa kipaumbele kuliko chochote.Naamini Jide hatoshindwa atasimama tu.
 
Nimeanza kumkumbuka Gardner, jide alipoteza wateja wengi baada ya kuachana na Gardner na beef la clouds, wafanyabiashara haipendezi kuwa na mabeef mnajiaribia wenyewe

Kama ulikuwa na mimi mabif noma unaweza kuangushwa kibiashara, hata hivyo kujunja ndoa sio mchezo ni lazima kwanza uteteleke ndoa ndoana jamani haivunji hivi hivi, kama kuna manunguniko upande wa g.h. hapo ataanza kuputika kuanzia kimziki hadi zinarudi kwao, kinachomsaidia sio mtu wa starehe angeisha koma.
 
Wambea wenzagu mnakaribishwa na nyie kusema ushuhuda wenu, najua kila mtu atakuja na unabii wake apa, mwenyewe ndio kashasema anaboresha biashara so muache midomo ovyo

Huyo Jide hana lolote, aseme tu kafulia watu tutamuelewa.
au labda mzungu wake anamtaka afunge biashara amfuate ulaya.
Maana huyo mzungu anapenda viboga hatari
 
Nimeanza kumkumbuka Gardner, jide alipoteza wateja wengi baada ya kuachana na Gardner na beef la clouds, wafanyabiashara haipendezi kuwa na mabeef mnajiaribia wenyewe

Jide atamkumbuka sana Gardner... Sioni Jide akiweza kusimama peke yake tena bila support ya G.

Nyimbo zinabuma, biashara zinakwama marafiki wamepungua. Mpaka anatia huruma.
 
Two heads are better than one Gadner alikua anamsaidia sana tu. Ndo alikua nguzo iliyokua inamsaidia kufanya vitu mwenyewe ngumu lazima uwe na assistance.
 
Huyo Jide hana lolote, aseme tu kafulia watu tutamuelewa.
au labda mzungu wake anamtaka afunge biashara amfuate ulaya.
Maana huyo mzungu anapenda viboga hatari

Eti nini.....!!!! Kiboga,,,,,,au nimesikia vibaya
 
Ulipenda awe nae tu huku anamuumiza moyo wakee ,??

Angemvumilia tu, mbona yeye kavumiliwa mengi.. Mapenzi ndio yalivyo sio wote wanapata malaika, maana kama ni kuumia nadhani kwa sasa ni mara sita ya mwanzoni.
 
Jide atamkumbuka sana Gardner... Sioni Jide akiweza kusimama peke yake tena bila support ya G.

Nyimbo zinabuma, biashara zinakwama marafiki wamepungua. Mpaka anatia huruma.

Ukikangalia lile beef na Clouds Gardner hakutaka kwani kina Ruge,Venture na wengineo walikuwa washkaji wake mno lakini ilibidi awe upande wake.Gardner ndiye alilost while Jide yeye alipata washkaji wengi wapya ambao walikuwa hawaipendi Clouds.G alifanya uamuzi mzuri sana kutozungumzia issue za Jide
 
Back
Top Bottom