Bar za bagamoyo hazina vyoo

Bar za bagamoyo hazina vyoo

deblabant

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2022
Posts
2,650
Reaction score
4,065
Hawa Osha sijui wanafanya kazi gani. Ni ama wakienda huko wanapewa hela wamalizane tu au hawaendi kabisa. Ndo shida ya waajiriwa wa serikali wakishaajiriwa hawafanyo kazi tena tofauti na ambapo osha ingekuw private sector.

Ndo mana hata jpm alikosea sana ATC na TTCL kuzifanya ziwe monopoly na kuua ushindani. Serikali haiwezi kufanya service effectively mana ni kama hakuna mwenye serikali wanategeana tu
 
Huku bar za bagamoyo
Huku TTCL
mara JPM🙌🤔

shida ni nyie wateja kwenda kupata huduma hapo kusiko na vyoo acheni kwenda hadi waweke choo
 
Back
Top Bottom