Bar za mijini hebu jifunzeni kutoka baa za uswahilini

Bar za mijini hebu jifunzeni kutoka baa za uswahilini

Maikoel

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2019
Posts
1,039
Reaction score
1,584
Yaani kila ikifika saa sita za usiku utasikia KWHA KWHA KWHA Juu wahudumu wanafunga viti na meza kupeleka stoo, hadi meza yako na kiti vinaondolewa unalazimika kumalizia bia yako juu juu na kuondoka.

Uswahilini hamna hizo Viti na meza ni permanent! Vimejengwa kwa magogo, mbao, miti, matairimabovu, nk. Sungusungu akija unampa kfive tu anakulinda mpaka kushwee.
 
Back
Top Bottom