Bara la Afrika kugawanyika na kuwa mabara mawili?

Napendekeza bara letu jipya tuliite Tandale continent, au vipi wadau.
 
Hapa nimeithibitisha nadharia ya PANGEA, ya kidato cha Sita.
 
Kama Rwanda wakabaki Afrika itakuwa fresh tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…