sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Iwe ni madini, mbuga za wanyama, ardhi yenye rotuba, vyanzo vya maji, vivutia, n.k. you name it, vimerundikwa kwa upendeleo wa ajabu sana hili bara.
Yani ni ule upendeleo wa wazi wazi, Laiti kama haya mabara yalikuwa yametuma barua za maombi ya rasili mali kwa Mungu basi Africa alikuwa ni ndugu kipenzi wa Mungu, alipendelewa wazi wazi bila hata kuandika barua.
Ajabu ni kwamba tunaendelea kutegemea misaada na mikopo, Ni jambo la kushangaza sana, Ni sawa na sungura alie kwenye shamba lenye karoti analalamika njaa.
WHY?