Barabara/Highways nyingi hazina vivuko vya miguu stahili

Barabara/Highways nyingi hazina vivuko vya miguu stahili

Mparee2

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2012
Posts
3,092
Reaction score
5,386
Kwa barabara zetu kuu ( Highways) hivi hakuna kigezo kwa wakandarasi wa barabara kuweka vivuko vya watembea kwa miguu stahili zaidi ya kuchora mistari ya pundamilia? Nimeandika hivi kwa sababu barabara zetu kuu karibia zote zimejaa matuta na Zebra kitu ambacho nahisi kinaweza kuwa hata nje ya utaratibu wa kimataifa wa barabara kuu.
Kwa nini wasiweke vivuko vya miguu simple tu kama vya nchi za wenzetu (sitarajii mtu aje na gharama ya likivuko kama lile la ubungo)
 
Kwa barabara zetu kuu ( Highways) hivi hakuna kigezo kwa wakandarasi wa barabara kuweka vivuko vya watembea kwa miguu stahili zaidi ya kuchora mistari ya pundamilia? Nimeandika hivi kwa sababu barabara zetu kuu karibia zote zimejaa matuta na Zebra kitu ambacho nahisi kinaweza kuwa hata nje ya utaratibu wa kimataifa wa barabara kuu.
Kwa nini wasiweke vivuko vya miguu simple tu kama vya nchi za wenzetu (sitarajii mtu aje na madirio ya gharama ya likivuko kama lile la ubungo)
Tanrods na Tarura hamna kitu hawawezi kufanya ujenzi wa viwango wanazunguahwa tuu na wanasiasa.
 
Umeona pale Kimara watu wapo tayari kutembea hadi round about kukwepa kupanda daraja.

Angalia buguruni, manzese nk

Wabongo ni vichaa
 
Back
Top Bottom