Barabara kuu kujengwa kutokea Bagamoyo hadi Malindi

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Mojawapo wa makubaliano baina ya rais Magufuli na Uhuru ni ujenzi wa barabara kuu mbili, moja ya kutokea Bagamoyo, Tanzania hadi Malindi, Kenya na nyingine kutokea Migori hadi Tanzania. Hizi barabara zitazidi kuongeza urahisishaji wa biashara baina ya raia wa nchi hizi mbili.

Imbainika pia waziri wa mambo ya nje Tanzania bwana Mahiga atarudi mwezi huu ili kuendeleza uratibishaji wa makubaliano baina ya marais wote wawili. Pia walikubaliana kufufua "Joint Commission for Cooperation" iliyokwama 1988.
===================================

Tanzania and Kenya have agreed on a time line to start the construction of two link roads meant to improve the movement of goods and people between the two countries.

The deal is the major decoration on the meeting between President John Magufuli and his host, President Uhuru Kenyatta, in Nairobi, whose joint address to journalists was made in Kiswahili.

The agreement means that the two countries will now proceed to discuss the final details that will see the Africa Development Bank (AfDB) finance the construction of the Bagamoyo-Malindi highway, and the road through Isebania border in Migori County to Tanzania.

“We have a plan to ensure that we speed up the construction of the road from Bagamoyo to Malindi and the other one through Isebania to open up the western region to enable our people to travel in a way that is safe and affordable,” President Kenyatta told a joint news conference at State House on Monday.
The Bagamoyo-Malindi highway has been on the cards since 2014, when negotiations between the two countries with the AfDB began.

But the road, which is 680km long and meant to improve connectivity between the two countries, was hampered by Tanzania’s reluctance to compensate protesting communities that have to be relocated.

Dr Magufuli was visiting Nairobi for the first time since his election last year, a move that had elicited suspicions that the new Tanzanian leader was ignoring regional integration for domestic affairs.

Related Content
On Monday, he dismissed the suspicions, first arguing that Tanzania considered Kenya as “our number one partner” then revealing he is always in touch with President Kenyatta by telephone.

“We call each other on many issues, but because these phone calls don’t get seen in public, some people don’t know,” said the Tanzanian leader.

But even in that declaration, Dr Magufuli, whose reign has been punctuated with a purge on corruption, remained guarded in his speech all through, choosing instead to describe his domestic policy.

“Our relations go back a long way, not just because we were both colonised by the British but because out nationals are also related. We are like siblings,” he argued.

PURGE ON CORRUPTION

“We have been getting in touch often with the President, through the phone. We call each other on many issues, but because these phone calls don’t get seen in public, some people don’t know. I want you to know from today that we talk a lot with President Uhuru Kenyatta.”

But even in that declaration, Dr Magufuli whose reign has been punctuated with a purge on corruption remained guarded in his speech, choosing instead to describe his domestic policy.

“I have explained the reality in Tanzania that we are developing. We are working towards ensuring our country moves forward. We want Tanzanians to pay taxes, we are striving to defeat corruption, and we are working hard to ensure Tanzanians and Tanzania develop,” he argued.

“I believe that if we go with this pace, we can reach at a level where we can say we are taking the country to a better place. We have a lot to learn from each other, between Kenya and Tanzania.”

He had been expected to comment on Kenya’s nomination of Foreign Affairs CS Amina Mohamed to be Chair of the AU Commission.

He did not, although sources said his Foreign Minister Augustine Mahiga will come back here this month on the same.

He was expected to say something about whether Tanzania will sign the Economic Partnership Agreement with the European Union, and which would guarantee East Africa privileged access to European Markets. He did not.

And as countries clamour to pull out of the International Criminal Court, the Tanzanian leader didn’t say a thing either.

During the meetings, the two leaders agreed to revive work on the Joint Commission for Cooperation. First signed in 1988 between then Presidents Ali Hassan Mwinyi and Daniel Moi, the two countries had largely ignored following up on creating systems that would improve trade between them.

In 2009, Kenya’s then Vice President Kalonzo Musyoka and his Tanzanian counterpart Ali Zhein had vowed to revive it. They did not.

On Monday, the two Presidents said they had instructed their ministers of Foreign Affairs to try again.

Magufuli and Uhuru in deal to build roads
 
mbona juz ulikuwa unabwabwaja ulidhani Magu anakuja kufanya siasa huko? umeona hayo manufaa ya ziara yake? ucpende sana kuhusisha siasa zenu na viongoz wa nchi zingine.
 
mbona juz ulikuwa unabwabwaja ulidhani Magu anakuja kufanya siasa huko? umeona hayo manufaa ya ziara yake? ucpende sana kuhusisha siasa zenu na viongoz wa nchi zingine.

Nilikujibu mara kadhaa na kama hukuelewa basi nakuacha maana utakua una matatizo. Nilikuambia raia Wakenya hatutahangaika kupiga selifies na rais kama mlivyokua mkisema, au kumshobokea na kujikombakomba.
Cha msingi yeye amekuja kwa shughuli rasmi za kikazi, basi hilo ndio la msingi, kwamba ujio wake una manufaa baina ya nchi zote mbili na hicho ndicho tutakomaa nacho.
 
Nafasi ya kupiga nae selfies mtaipata wapi, hamna hata hadhi ya kufunga gidamu za viatu vyake.
 
Hapo naona kama barabara inayotakiwa kujengwa ni Bagamoyo mpaka Tanga. Huko kwingine si barabara ipo inapitia Lunga-Lunga, Mombasa, Malindi ni kiasi cha kuikarafati tu?
 
Nafasi ya kupiga nae selfies mtaipata wapi, hamna hata hadhi ya kufunga gidamu za viatu vyake.
kwa hilo kweli watanzania tuna matatizo (baadhi), hawana hadhi kwamba Magufuli ni malaika yule au?, acheni kuwadharau waafrika wenzenu, angesema hivyo mzungu tungesema ubaguzi
 
Na unadhani Magufuli ana Muda wa Selfie?? au amefata Selfie huko?
 
Hapo naona kama barabara inayotakiwa kujengwa ni Bagamoyo mpaka Tanga. Huko kwingine si barabara ipo inapitia Lunga-Lunga, Mombasa, Malindi ni kiasi cha kuikarafati tu?
Ningependa kufahamu hii ya Bagamoyo - Malindi inapitia wapi kwa Pangani au? mana kuanzia Tanga mpaka Lunga Lunga tayari lami imepita ya kiwango kabsaa.....
 
Ningependa kufahamu hii ya Bagamoyo - Malindi inapitia wapi kwa Pangani au? mana kuanzia Tanga mpaka Lunga Lunga tayari lami imepita ya kiwango kabsaa.....
Unajua hata mimi nimejiuliza swali hilo hilo mpaka nimeangalia ramani nikaona huko mbele barabara ipo ila nikawa sijui kama ni ya lami ndiyo maana nikaacha uwezekano wa kuikarafati. Sijafika huko miaka mingi.

Nashukuru kwa kunihakikishia hili.

Nilitegemea tuelezwe barabara itapitia wapi. Lakini kama wanataka mtu aweze kutoka Bagamoyo na kufika Malindi kwa barabara ya moja kwa moja inaonekana kama kipande ambacho hakipo hapo ni kutoka Bagamoyo mpaka Tanga hapo kati kupitia mbuga ya Saadani nafikiri.
 
Labda kwa kupitia huko Sadan (Pangani)....na labda kutoka Mombasa mpaka malindi ndo hatujui kama ni lami au mbovu....kwahiyo itakuwa ni vipande vichache.
 
Labda kwa kupitia huko Sadan (Pangani)....na labda kutoka Mombasa mpaka malindi ndo hatujui kama ni lami au mbovu....kwahiyo itakuwa ni vipande vichache.
barabara ya mombasa hadi malindi iko tangu zamani...... hata tokea mwaka jana wamekua wakiongezea lami juu yake (sijui kwanini manake lami ilikua sawa tu)

alafu juzi juzi nikiwa huko walikua wanafyeka na kuondoa vizuizi kama mita tatu-nne pande zote mbili kando ya barabara, nikauliza mtu wa kwanza kwanini akasema ni serikali ilikua inakumbusha watu hio sehemu ni mali ya serikali kwahivyo watu wasijenge ovyo ovyo karibu na bara bara...

mtu wa pili akaniambia walikua wanapanga kupanua barabara hadi tanzania..... wakati huo bado nilikua siamini kama itafanyika karibuni, maana akilini mwangu nilikua nashangaa kwanini wanaongeza lami kwa barabara iliopo kama kulikua na mpango wa kupanua barabara.... (si wangefanya hizo kazi mbili kwa pamoja ili kupunguza gharama?)
nafikiri wanapanga kuzipanua hizo bara bara ziwe leni nnue, lakini hawatabomoa zile zilizoko, wataongezea tu....
 
vyote sawa lakini ardhi hatuwapi na itabidi muendelee kukata work permits
 
kabombe, ni bora umewaambia maana ni wazee wa kupenda mteremko ni kujilazimisha kukubaliwa ati integration! Waanze Wakikuyu, Wakalee na Wajaluo ku-integrate kwa kumuachia power RAO
 
kabombe, ni bora umewaambia maana ni wazee wa kupenda mteremko ni kujilazimisha kukubaliwa ati integration! Waanze Wakikuyu, Wakalee na Wajaluo ku-integrate kwa kumuachia power RAO
Wakenya wana uchu na ardhi yetu,tutaongea kuhusu watalii,waaachie ruti, zetu twiga kafufuka,wasitegemee waiver ya work permit wala kumiliki ardhi kama kununua shati,wapo kule chanika,boko,bunju na bagamoyo wamenunua ardhi wataitema tu
 
Safari ya Dar hadi Mombasa huwa ndefu sana. Wakati hiyo miji haina umbali mrefu.
 
Safari ya Dar hadi Mombasa huwa ndefu sana. Wakati hiyo miji haina umbali mrefu.
Sasa urefu wake utapungua vipi wakati tayari barabara ipo?

Barabara kutoka Migori mpaka Sirari/Tanzania ipo, ilijengwa wakati wa Moi na Mwinyi. Ni moja ya barabara zilizojengwa kwa viwango vizuri sana.

Barabara ya Migori ~ Sirari/Makutano niliyoisema ilijengwa mwaka 1995 lakini mpaka leo iko imara sana.

Kama kawaida Wanasiasa wamecheza na maneno!!!
 
migori iko upande wa western kenya karibu na kisumu, huko ni mbali sana na mombasa!

Hii bara bara itakua inachapa njia ambayo iko karibu na pwani zetu, itakua hakuna haja ya kusafiri hadi bara ndo ugeuze uende tz, utakua unapitia nji zenye si mbali na pwani au ufuo wa bahari
 
Ndio imeshajengwa hivyo, dah serikali hii Kila siku inaongeza mikataba na makubaliano yasiyotekelezeka, nawahakikishia mpaka anamaliza miaka yake 5 hizo barabara zitakuwa kwenye makabrasha tu
 
Soma vizuri hiyo taarifa. Wanasema pia kutakuwa na barabara ya kutoka Migori mpaka Isebania (Sirari). Ndiyo maana nauliza kivipi ijengwe tena wakati iliyopo iko vizuri toka 1995


Na zote mbili (pamoja na hiyo ya Pwani nazifahamu vizuri). Fahamu pia Migori haipo karibu na Kisumu japo ipo ndani ya jimbo la Nyanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…