Muda mrefu nimekuwa nikikutana na hili,linapokuja swala la barabara au bustani utakuta mtu mwenye taaluma ya uandishi habari kaandika.
Ajali imetokea barabara ya Ali Hassan Mwinyi Road,au sherehe zitafanyika bustani ya mnazi mmoja garden,nionavyo mimi ni lugha mbili zinazungumzia kitu kimoja..kwa nini isiwe,mfano maandamano yataanzia barabara ya kilwa,au sherehe zitafanyika bustani ya mnazi mmoja.
Tusipo ongeza maneno ya Kiingereza tunaoneka waongo.Muda mrefu nimekuwa nikikutana na hili,linapokuja swala la barabara au bustani utakuta mtu mwenye taaluma ya uandishi habari kaandika.Ajali imetokea barabara ya Ali Hassan Mwinyi Road,au sherehe zitafanyika bustani ya mnazi mmoja garden,nionavyo mimi ni lugha mbili zinazungumzia kitu kimoja..kwa nini isiwe,mfano maandamano yataanzia barabara ya kilwa,au sherehe zitafanyika bustani ya mnazi mmoja.
Naunga mkono hoja!Peleka radio one ama bakita kaka
Ndio maana wa-Tanzania tumefika hapa tulipo,kwa mwendo kama wako.