Barabara ya Bigwa - Kisaki kile kinachofanyika Kibangile ndio uwekaji lami?

Morogoro na dodoma wanaipaga ccm kura 100% ila ccm inawalipa dharau sana wana morogoro.
 
Hiyo ni maana halisi ya kauli mbiu ya 'kazi iendelee'
Yaani kazi haziishi Ila zinaendelea
 
Morogoro na dodoma wanaipaga ccm kura 100% ila ccm inawalipa dharau sana wana morogoro.
Wenyewe CCM wanawaita mibuyu...huna haja ya kuimwagilia wala kuipalilia wewe kazi yako ni kuvuna tuuu.
 
Huko hawajapewa basi la kwendea msibani???......Abood aliwateka kijinga sana watu wa moro mjini, kila msiba anawapa yale mabasi yake mabovu na watu wanaridhiika, Moro na Dodoma kuna shida
 
Na hata mashirika mengi binafsi ya lishe yakishirikiana na Serikali,,ukanda huo yapo Kwa Wingi Kwa ajili ya kupambana na udumavu na utapiamlo
 
Back
Top Bottom