Huyo Tail wenu ndiye tatizoHii barabara inafanyiwa utani sana naambiwa kwasasa wameleta shindilia na boza huu ni utani sana kwa wananchi wa Jimbo hili.
Wenyewe CCM wanawaita mibuyu...huna haja ya kuimwagilia wala kuipalilia wewe kazi yako ni kuvuna tuuu.Morogoro na dodoma wanaipaga ccm kura 100% ila ccm inawalipa dharau sana wana morogoro.
Na hata mashirika mengi binafsi ya lishe yakishirikiana na Serikali,,ukanda huo yapo Kwa Wingi Kwa ajili ya kupambana na udumavu na utapiamloHuko hawajapewa basi la kwendea msibani???......Abood aliwateka kijinga sana watu wa moro mjini, kila msiba anawapa yale mabasi yake mabovu na watu wanaridhiika, Moro na Dodoma kuna shida