Barabara ya Bigwa - Kisaki Serikali mnawachukuliaje hawa Waluguru wa Morogoro Kusini? Babu Tale na Kalogeresi waachieni majimbo CHADEMA nyie hamtoshi

Barabara ya Bigwa - Kisaki Serikali mnawachukuliaje hawa Waluguru wa Morogoro Kusini? Babu Tale na Kalogeresi waachieni majimbo CHADEMA nyie hamtoshi

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Hii barabara ya Bigwa - Kisaki serikali inaonesha dharau ya wazi kwa watu wa huku. Imagine magari yanasafiri kilomita 80 Moro -Mvuha kwa siku tatu. Halafu bila aibu CCM watakuja kuomba tena kura.
 
Hizo barabara kuna sehemu unafika hata google map haijui njia iko wapi inabidi uulize wananchi.
 
Kwa hiyo Wabunge wa CHADEMA ndiyo wanajenga barabara?

Kazi ya kujenga barabara ni ya Serikali.

Mbunge na diwani ni wawakilishi tu ambao wanawasilisha mahitaji ya wananchi kwa Serikali na kusubiri utekelezaji.
 
Kwani serikali ninani? Kama mmeshindwa kuweka lami barabara muhimu kama ile achieni majimbo ndio mtajua nguvu ya wananchi.
 
Hizo barabara kuna sehemu unafika hata google map haijui njia iko wapi inabidi uulize wananchi.
Kuna biashara nyingi sana upande ule mkuu hata kulifikia bwawa la Mwl Nyerere njia ndio hiyo ukitoa ile ya ngerengere.
 
Usishangae uchaguzi ujao wakapenyeza rupia wakapita bila kupingwa
 
Back
Top Bottom