Superbug JF-Expert Member Joined Jan 31, 2018 Posts 13,864 Reaction score 35,079 May 3, 2024 #1 Hii barabara ya Bigwa - Kisaki serikali inaonesha dharau ya wazi kwa watu wa huku. Imagine magari yanasafiri kilomita 80 Moro -Mvuha kwa siku tatu. Halafu bila aibu CCM watakuja kuomba tena kura.
Hii barabara ya Bigwa - Kisaki serikali inaonesha dharau ya wazi kwa watu wa huku. Imagine magari yanasafiri kilomita 80 Moro -Mvuha kwa siku tatu. Halafu bila aibu CCM watakuja kuomba tena kura.
Bechede JF-Expert Member Joined May 3, 2020 Posts 872 Reaction score 2,422 May 3, 2024 #2 Hizo barabara kuna sehemu unafika hata google map haijui njia iko wapi inabidi uulize wananchi.
Kindeena JF-Expert Member Joined Sep 27, 2017 Posts 11,462 Reaction score 21,124 May 3, 2024 #3 Kwa hiyo Wabunge wa CHADEMA ndiyo wanajenga barabara? Kazi ya kujenga barabara ni ya Serikali. Mbunge na diwani ni wawakilishi tu ambao wanawasilisha mahitaji ya wananchi kwa Serikali na kusubiri utekelezaji.
Kwa hiyo Wabunge wa CHADEMA ndiyo wanajenga barabara? Kazi ya kujenga barabara ni ya Serikali. Mbunge na diwani ni wawakilishi tu ambao wanawasilisha mahitaji ya wananchi kwa Serikali na kusubiri utekelezaji.
Superbug JF-Expert Member Joined Jan 31, 2018 Posts 13,864 Reaction score 35,079 May 3, 2024 Thread starter #4 Kindeena said: Kwa hiyo Wabunge wa CHADEMA ndiyo wanajenga barabara? Kazi ya kujenga barabara ni ya Serikali. Mbunge na diwani ni wawakilishi tu ambao wanawasilisha mahitaji ya wananchi kwa Serikali na kusubiri utekelezaji. Click to expand... Kwani serikali ninani? Kama mmeshindwa kuweka lami barabara muhimu kama ile achieni majimbo ndio mtajua nguvu ya wananchi.
Kindeena said: Kwa hiyo Wabunge wa CHADEMA ndiyo wanajenga barabara? Kazi ya kujenga barabara ni ya Serikali. Mbunge na diwani ni wawakilishi tu ambao wanawasilisha mahitaji ya wananchi kwa Serikali na kusubiri utekelezaji. Click to expand... Kwani serikali ninani? Kama mmeshindwa kuweka lami barabara muhimu kama ile achieni majimbo ndio mtajua nguvu ya wananchi.
Superbug JF-Expert Member Joined Jan 31, 2018 Posts 13,864 Reaction score 35,079 May 3, 2024 Thread starter #5 Bechede said: Hizo barabara kuna sehemu unafika hata google map haijui njia iko wapi inabidi uulize wananchi. Click to expand... Kuna biashara nyingi sana upande ule mkuu hata kulifikia bwawa la Mwl Nyerere njia ndio hiyo ukitoa ile ya ngerengere.
Bechede said: Hizo barabara kuna sehemu unafika hata google map haijui njia iko wapi inabidi uulize wananchi. Click to expand... Kuna biashara nyingi sana upande ule mkuu hata kulifikia bwawa la Mwl Nyerere njia ndio hiyo ukitoa ile ya ngerengere.
M Mzalendo120 JF-Expert Member Joined Jul 2, 2022 Posts 1,842 Reaction score 2,410 May 3, 2024 #6 Usishangae uchaguzi ujao wakapenyeza rupia wakapita bila kupingwa