KERO Barabara ya Bunju B inahitaji matuta

KERO Barabara ya Bunju B inahitaji matuta

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Habari wakuu jamani naomba kutoa kero yangu kwa barabara ya bagamoyo. Kwa hapa maeneo ya bunju B panatokea ajali za mara kwa mara kwa maana kuna mkusanyiko mkubwa wa watu na hakuna taa wala arama za kuvuka upande wa pili na wala hakuna matuta kwa iyo hari hii husababisha hajari za mara kwa mara.

Naomba serikari walifanyie kazi swala hili
 
Back
Top Bottom