KERO Barabara ya Hombolo Dodoma ni mbaya sana, kila siku tunapigwa danadana kuwa itawekewa lami

KERO Barabara ya Hombolo Dodoma ni mbaya sana, kila siku tunapigwa danadana kuwa itawekewa lami

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Jamii Forums habari,

Tunaomba mtusaidie wakazi wa Dodoma, barabara ya Hombolo ni mbaya sana, Kila siku tumekuwa tukipigwa danadana kuwa inawekewa lami lakini hakuna kinachoendelea kwamba kuna chuo cha Serikali za mitaa, hospitali na bwawa lakini barabara iko ovyo sana.

hombolo.jpg
 
Back
Top Bottom