A Anonymous Guest Jul 17, 2024 #1 Jamii Forums habari, Tunaomba mtusaidie wakazi wa Dodoma, barabara ya Hombolo ni mbaya sana, Kila siku tumekuwa tukipigwa danadana kuwa inawekewa lami lakini hakuna kinachoendelea kwamba kuna chuo cha Serikali za mitaa, hospitali na bwawa lakini barabara iko ovyo sana.
Jamii Forums habari, Tunaomba mtusaidie wakazi wa Dodoma, barabara ya Hombolo ni mbaya sana, Kila siku tumekuwa tukipigwa danadana kuwa inawekewa lami lakini hakuna kinachoendelea kwamba kuna chuo cha Serikali za mitaa, hospitali na bwawa lakini barabara iko ovyo sana.
Mtukutu wa Nyaigela JF-Expert Member Joined Sep 4, 2018 Posts 8,013 Reaction score 14,263 Jul 18, 2024 #2 na bado .endeleeni kuteseka sana hadi mkome mlipewa tshirt na kofia, kwani vimeisha?