Barabara ya Igoma - Kishiri

Hili nalo liliishia wapi, nilimsikia waziri wa tmisemi majuzi aliiongelea barabara kutoka buhongwa, kishiri, igoma. Serikali ifanye kweli mambo yamewiva,
 
Yaan kama sasa hiv hilo vumbi linalotimka sijui watu waliokaribu na barabara ndan wanaishije?kwa kwel liangaliwe hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…