Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Kuuliza si ujinga. Nakumbuka mara ya pili walitangaza kujenga barabara Ubungo Kimara.
Watu waoga wakavunja mpaka leo hii ile njia haijajengwa. Sasa kuna hii njia ya kmr bonyokwa tunapenda sana mafanikio jamani. Tukafurahia mno ghafla tukaona malori madubwasha ya kuvunja na kukwangua njia.
Wengine tunaoitumia tukajua kazi inaanza akaja waziri mmoja akatangaza april wanaanza hola. Tukaambiwa may inaanza hola may inakatika.
Sasa naona baadhi ya madubwasha ya kukwangua na kuvunja nyumba. Vibanda yanaondolewa na malori leo.
Swali mnatuwekea lini hii barabara wengine msaada sana kwenda Airport na Tabata. Tunauliza hivi kuna yaliowatokea watu wa kipunguni wapendwa.
Waliambiwa wanakuja kulipwa wasijenge wala kupangisha. Wapangaji wakaondolewa well..Waliotaka kuboresha wakaacha.
Sasaa n mwaka yanayofanyika wakisikia mpango wa maandamano wanapeleka kiongozi anawahakikishia hela mwezi flan unaishi kwa matumaini.
Majuzi tumemsikia mb bonna akilalamika hawa watu ndio wanaturudisha bungen tunawadanganya mpaka lini?
Mkumbuke waliobomolewa kmr bonyokwa awakulipwa na wana watoto wanahitaji ada na wengine leo hii wamehamisha watoto wao kwenda kayumba bila kupenda.
Sasa wananchi wa kmr bonyokwa tunaomba haya ya kipungun yasitokee watuwashabomoa na waliobomolewa hawakuwa na ubishi wanataka maendeleo.
Hivi majuzi tumeuliza wa serkl za mitaa wanasemaa wamasubiri mvua iishe mmh
Mungu ibariki kmr wabariki bonyokwa yao.
All the best.