KERO Responded Barabara ya Mbande - Kisewe Stendi eneo la Kituo cha Polisi kuna dimbwi kubwa la maji linasababisha usumbufu

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Kuna kero inatukabili Wakazi wa Mbande Kisewe, hii barabara ya kutoka Mbande hadi Kisewe Stendi hapa Kituo cha Polisi kuna dimbwi kubwa la maji linalosababisha usumbufu kwa Watumiaji wa barabara hiyo. Liangaliwe na lishughulikiwe kwani limekuwa kero kubwa na linachangia kuharibu vyombo vya usafiri vinavyopita eneo hilo.


​
Mrejesho wa awali ~ Mrejesho: Lile dimbwi la pale Police Mbande limefukiwa, tunashukuru kwa wahusika
 

Attachments

  • 20260312_071658.jpg
    387.5 KB · Views: 21
  • 20260312_071703.jpg
    419.5 KB · Views: 24
  • 20260312_071700.jpg
    360.9 KB · Views: 22
  • 20260312_071720.jpg
    382.6 KB · Views: 19
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…