KERO Barabara ya Mbeya kwenda Chunya ni janga jipya la mkoa

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Mwanongwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2023
Posts
879
Reaction score
814
Hivi Viongozi Wa Serikali Mmeiona Barabara Ya Mbeya Kwenda Chunya? au wenzetu Kuna njia nyingine mnaitumia na siyo hii tunayopita sisi wananchi.

Barabara Ina Mashimo Utadhani Mahandaki Magari Yanaharibika Kila Kukicha Kutokana Na Ubovu Wa Barabara.

Tanroad Mbeya Mmejikausha Kama Vile Hamuoni Ubovu Huo,licha Ya Wilaya Ya Chunya Kuwa Wilaya Tajiri Kwa Madini Ya Dhahabu Lakini Miundombinu Yake Ni Mibovu Sana.

Mwanongwa Nawakumbusha Tu Kuwa Kuna Umuhimu Wa Kurekebisha Miundombinu Hiyo Kabla Majanga Hayajatukumba.

Nimemaliza Mwanongwa Wa Watu.
 
Y
Aani
Shida tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…