Barabara ya Mbezi Victoria mpaka Bunju ( Awamu ya kwanza, Mbezi Victoria mpaka Mpigi Magoe-9.55km)

Barabara ya Mbezi Victoria mpaka Bunju ( Awamu ya kwanza, Mbezi Victoria mpaka Mpigi Magoe-9.55km)

Kwasenga

Member
Joined
Feb 24, 2021
Posts
55
Reaction score
53
Wakati Mheshimiwa Mbunge wa Kibamba akichangia bajeti ya wizara ya ujenzi 2024/2025 alisema tangazo la tenda ya kujenga barabara ya Mbezi Victoria kwenda Mpigi Magoe limeshatoka.

Nimetafuta kila mahala hili tangazo sijaliona kabisa, ninachokutana nacho ni tangazo la barabara ya kibamba shule to mpigi magoe ambalo ndo limetoka.

Kumbuka hii barabara ya kibamba shule inaendelea kujengwa na ilitegemewa hili tangazo liwe la hii nyingine ya Victoria.

Naomba sasa kujua, je tangazo alilolisema Mbunge la barabara ya Victoria liko wapi?
 
Back
Top Bottom