A
Anonymous
Guest
Hii kero inahusu mzani wa magari makubwa ambao upo mtaa wa Changani- Temeke. Sina hakika kama hizi barabara za mitaani zina uwezo wa kuhimili uzito wa haya magari makubwa.
Barabara ya mtaa wa Changani na Likwati imeharibika kwa biashara ya mtu binafsi. TARURA wamelala uzingizi mzito.
Barabara ya mtaa wa Changani na Likwati imeharibika kwa biashara ya mtu binafsi. TARURA wamelala uzingizi mzito.