Habari wakuu,
Hii barabara ni mbovu sana naomba wahusika wafanyie kazi hata kama ni masika ubovu umezidi na imekuwa kero sana barabara ina mashimo kama mahandaki wabunge wapo wakurugenzi wapo wakuu wa wilaya wapo ni kwamba hawaoni au tafadhali tengenezeni hii barabara.