Hii ndio hali ya Barabara ya Tabata - Kimanga kutokea Tabata Bima, barabara imeharibika sana hasa kutokea Chama mpaka Mawenzi.
Gari nyingi zinaharibika kila siku na wakati mwingine hasa wakati wa kipindi cha mvua daladala zinashusha abiria au kukatisha ruti kwasababu hakupitiki.