A
Anonymous
Guest
Sisi wakazi wa Chanika Taliani kuelekea PSSSF, barabara zetu zimekuwa mbovu sana.
Mkandarasi alikuja na kuchakachua kupitisha grader kwa juu tu, ametimua vumbi na kukimbia badala ya kutengeneza barabara, hakuwa na vibration roller kwaajili ya ushindiliaji.
Kwakwel tunapata shida sana, tunaomba mtupazie sauti tutengenezewe barabara hata viwango vya changarawe..