KERO Responded Barabara ya Tarime Mjini – Nyamongo iko katika hali mbaya na wahusika wala hawajali

  • Thread starter Thread starter Anonymous (bbf7)
  • Start date Start date
Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Your browser is not able to display this video.
Hii ni barabara ya Tarime Mjini – Nyamongo, iko katika hali mbaya na wahusika wala hawajali. Viongozi wanaohusika na Barabara na wale wengine wote hawalioni hili? Ubovu huu ni chanzo cha changamoto nyingi ikiwemo ajali, madhara kwa watu, shughuli za kiuchumi kuathirika.

Ujumbe ufike kwa wanaohusika kabla ya madhara kuwa makubwa zaidi.

Pia soma ~ Waziri Ulega: Serikali itaimarisha miundombinu ya Mara, Barabara na Uwanja wa Ndege
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…