Copro mtego
JF-Expert Member
- Aug 22, 2022
- 619
- 796
Barabara za jijini Dodoma inaonekana hazifanyiwi ushafi wowote maana hata ukipita barabara ya lami vumbi lake ni sawa na alitepita barabara ya vumbi tu.
Najiuliza hizi uongozi wa jiji unashindwa kutenga bajeti kwa ajili ya kutunza barabara za makao makuu ya nchi?
Na kama hali hii ipo makao makuu ya nchi vipi hali ya barabara za halmashauri za pembeni sana?
Mm binafsi nimekuja kama mgeni Dodoma ila hiyo hali umenipa mawazo sana.
Yaani nusu ya barabara imeshafunikwa na mchanga kiasi kwamba watembea kwa miguu, boda boda na waendesha baiskeli hawawezi kuona lami imebaki katkat tu na hii ni kwenye barabara zote nilizopita za Dodoma.
Mamlaka za jiji sijui kama zinaliona hili